Mganga alinipa sharti la kutoshiriki tendo la ndoa na mwanamke yeyote

Tajiri Mapesa

JF-Expert Member
Feb 26, 2020
707
693
Habarini ndugu zangu, kwanza poleni na mihangaiko yote ya hapa jukwaani,
Kwa majina naitwa Shukuru ni mkazi wa Misungwi nina umri wa miaka 35.

Katika harakati zangu za kutafuta maisha nilipata kushawishiwa na rafiki yangu kwenda kutafuta pesa za majini ambapo mimi na rafiki yangu tulikwenda kwa mganga mmoja huko maeneo ya njombe.

Mganga alitupatia utajiri lakini kwa masharti ya kutoshiriki tendo la ndoa na mwanamke yeyote yule wala kuoa. Nimefanikiwa kufuata masharti hayo kwa asilimia 100, mpaka sasa nina miaka 10 sijashiriki tendo la ndoa na mwanamke yeyote. Nina majumba, magari na utajiri mkubwa ila sijaoa.

Sasa wazazi wangu walivyoona nakaa muda mrefu bila kuoa wamenijia juu wanataka nioe na wanahitaji wajukuu. Nipo njia panda sijui la kufanya. Naombeni ushauri wakuu nifanyeje.
 
Naamini soap haina shida uliruhusiwa.
Endeleza soap tu.

Na hiyo ndio the price you pay

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini ndugu zangu, kwanza poleni na mihangaiko yote ya hapa jukwaani,
Kwa majina naitwa Shukuru ni mkazi wa Misungwi nina umri wa miaka 35.

Katika harakati zangu za kutafuta maisha nilipata kushawishiwa na rafiki yangu kwenda kutafuta pesa za majini ambapo mimi na rafiki yangu tulikwenda kwa mganga mmoja huko maeneo ya njombe.

Mganga alitupatia utajiri lakini kwa masharti ya kutoshiriki tendo la ndoa na mwanamke yeyote yule wala kuoa. Nimefanikiwa kufuata masharti hayo kwa asilimia 100, mpaka sasa nina miaka 10 sijashiriki tendo la ndoa na mwanamke yeyote. Nina majumba, magari na utajiri mkubwa ila sijaoa.

Sasa wazazi wangu walivyoona nakaa muda mrefu bila kuoa wamenijia juu wanataka nioe na wanahitaji wajukuu. Nipo njia panda sijui la kufanya. Naombeni ushauri wakuu nifanyeje.
Sambaza miamala humu Kisha tukupe ushauri.

Wewe pimbi siuliteta uzi hapa umebanduliwa na mwanafunzi mara umezaa mtoto mmoja mara,acha ushoga ni hatari kwa afya yako

Sent using IPhone X
 
Ebu vunja hayo masharti ya mganga tuone nini itatokea, oa na tafuta watoto tuone kama utajiri wako utapukutika or not, ila angalia usije vunjika dushe tu😀
 
Habarini ndugu zangu, kwanza poleni na mihangaiko yote ya hapa jukwaani,
Kwa majina naitwa Shukuru ni mkazi wa Misungwi nina umri wa miaka 35.

Katika harakati zangu za kutafuta maisha nilipata kushawishiwa na rafiki yangu kwenda kutafuta pesa za majini ambapo mimi na rafiki yangu tulikwenda kwa mganga mmoja huko maeneo ya njombe.

Mganga alitupatia utajiri lakini kwa masharti ya kutoshiriki tendo la ndoa na mwanamke yeyote yule wala kuoa. Nimefanikiwa kufuata masharti hayo kwa asilimia 100, mpaka sasa nina miaka 10 sijashiriki tendo la ndoa na mwanamke yeyote. Nina majumba, magari na utajiri mkubwa ila sijaoa.

Sasa wazazi wangu walivyoona nakaa muda mrefu bila kuoa wamenijia juu wanataka nioe na wanahitaji wajukuu. Nipo njia panda sijui la kufanya. Naombeni ushauri wakuu nifanyeje.
Lipia tangazo
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom