Mganga alinipa sharti la kutoshiriki tendo la ndoa na mwanamke yeyote

😃😃😃 una pesa majumba na magari, umemfikia Saniniu Laizer, maana sadaka uliyotoa ni kubwa sana. Hofi ni ukienda mganga akasema oa lakini uwe "mchicha mwiba"...
 
sasa shart lilikua himo moja tu ama wewe ndio ulichagua hilo ebu weka na masharti mengine yalikua nini
halafu weka na connection ya mganga
 
Back
Top Bottom