Mgambo waua Arusha

Mgambo waua Arusha

sokoinei

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
1,832
Reaction score
566
Siku ya jumatano wagambo wa jiji la Arusha walimshambulia mama mmoja kwa ngumi na vibao bila kusahau virungu maeneo ya mbavu,leo mama yule amefariki mida ya saa saba.

Asante wauaji wa jiji mola atalipa, amen
 
Mheshimiwa Mbunge Godbless Lema amesemaje juu la hili?
 
Mauaji ya aina hii yanatokea kila siku nchini. Arusha ni kwa sababu hii taarifa imeletwa mbele ya wasomaji!
 
Hakuna atakayekusikiliza ndugu yangu mpaka wenye maslahi waguswe ndo utaona watu macho yanawatoka na misuli ya shingo kuvimba!
 
polen wafiwa na watu wa arusha kwa ujumla. ila ungeweza kupata jina la marehemu na some more details ( like kama umeongea na kiongoz wa mgambo hapo ar au hata RPC kuthibitisha hiyo tuhuma) ingekuwa habar nzur ya kufuatilia.
 
Huyo mama alienda kuripoti na kuchukua PF kwa ajili ya kwenda kutibiwa..? Nilishawaambia wahusika zamani tu hawa mgambo walioamua kuwaweka mijini ni janga wanalitengeneza.. Hiyo sio kesi ya kwanza na wala haitakuwa ni ya mwisho.. Ni kama hili janga jingine walilolitengeneza la Polisi jamii..
 
hili latisha,lakini hembu fafanua kwanza,alipigwa kwa kosa gani sehemu gani maana hili lataka ufuatiliaji wa kina ili yasizidi kutokea, leo marehemu mama huyu kesho yaweza kuwa mamangu ama mama yako
 
Mwanangu msala huoooo, walimpiga mama wa watu ili kuwafurahisha Mbwa wenzao eeeh? haya sasa
 
Plz wadau nimaneno yalio kua yamezagaa mji mzima wa arusha.nimetoka polisi kufuatilia nikaambiwa yuko mauntimeru hospito baada ya kwenda huko nimeufahamu ukweli nikwamba alizimia tangu juma tano ila amezinduka mchana waleo ila afya yake inauwalakini,na ndugu zake wa karibu wamesha fungua kesi dhidi ya wagambo.samahani kwa taarifa ya mwanzo na sasa mji wa arusha umetandwa na vijimaneno vya chini chini
 
Siku ya jumatano wagambo wa jiji la Arusha walimshambulia mama mmoja kwa ngumi na vibao bila kusahau virungu maeneo ya mbavu,leo mama yule amefariki mida ya saa saba.asante wauaji wa jiji mola atalipa amii
wANAUSALAMA BONGO SHIDA SANA .....LEO HII MUDA SIYO MREFU MIDA YA SAA 10 CLOCK TOWER ARUSHA HIHII... POLISI KACHAPANA MBAYA NA RAIA....KISA...JAMAA YUKO NA MKEWE KWENYE GARI ....GARI KWELI LINA KOSA... TRAFIC SI AKATAKA KUCHUKUA UFUNGUO KINGUVU JAMAA AKAGOMAA...POLISI AKAMPA NGUMI ....BASI KILINUKA MBAYA HADI POLISI WENGINE WAKAINGILIA KATI ......WAKAANZA KUPIGA JAMAA WOTE KWA PAMOJA ...RAIA WAKAINGILIA KATI ...POLISI ILIBIDI WAONDOKE NAYE JAMAA KIUPOLE TU......KILICHONIFURAHISHA NI MAMSAPU WA JAMAA NAYE ALIKUWA ANAZIPIGA KAMA KAWA KUMSAIDIA MUMUWE......SEMA NILIKUWA NA NOKIA TOCHI TU NIKASHINDWA KUPATA
 
hawa mgambo wa arusha iko.sijaelewa utendaji kazi wao. wao ni ku2mia manguvu alafu wanakamata wamachinga mpaka ucku saa tatu.hivi iyo sheria ipo?tena wanakuwa pamoja na polisi.kweli wananyanyasa wamachinga
 
Back
Top Bottom