Mgambo wafanywe walinzi wa usiku mitaani kudhibiti vibaka na panya road.

Kauli Moja tu kutoka kwa Amir jeshi mkuu kwa jeshi la Polisi....

"PANYA ROAD WOTE WAUWAWE"..

speacial operation, haijalishi umekutwa kwenye tukio au uko kwenu umepumzika...jeshi likiwa na taarifa zako popote litakapokukuta mnamalizana tu....hii ni njia rahisi sana yakupunguza gharama za ulinzi na kuleta furaha mitaani..

Ni wiki moja tu hao Panya road wote watapotea mitaani na jamii itaishi kwa furaha...
 
Imekuwa ni kawaida kuwa na ulinzi shirikishi kwa jina maarufu la sungusungu katika baadhi ya mitaa ambayo huwa na tatizo sugu la vibaka wahalifu wanoibia watu, kupora mali na kudhuru raia hasa nyakati za usiku.

Sungusungu mara nyingi huwa ni raia wa kiume wa mtaa husika wasiokuwa na taaluma ya ulinzi na usalama wanaopeana zamu za kulinda mitaa yao nyakati za usiku kwa kuzunguka mtaa.

Imefika wakati Halmashauri hasa za miji kuja na suluhu la kudumu la uhalifu wa vibaka mitaana kama Panya Road kwa kutumia mgambo ambao huusika katika operations za Halmashauri. Halmashauri ziongeza fungu la fedha, wajenge uwezo zaidi kwa mgambo katika idadi na mbinu kisha wawafanye walinzi wa usiku katika mitaa yenye uhalifu mkubwa
NCHI HII INA MITAA MINGAPI?
NANI ATAWALIPA HAO MGAMBO ?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Kama umeshawai kuwafahamu hao wanaolinda usiku utagundua kati ya 10 labda ni 2 tu ndo sio waizi na wakabaji. Yaani unakutana hapa na walinzi wanakuhoji unaondoka, mbele mbele unakabwa na vibaka! Au kinyume chake.
 
Back
Top Bottom