Mgambo wa Arusha wala Krismasi kwa kichapo

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,828
Nilikuwa nje ya mji ndio nimeingia town mida hii.kumbe mgambo wa jiji la Arusha wametembezewa kichapo kitoka kwa wafanyabiashara ndogondogo.
Walitaka kuwabugudhi wafanyabiashara wachache waliobakia mjini kutafuta rizki japo ni siku ya krismasi.

Polisi wameokoa jahazi...!

Mery christmass
 
Kweli kabisa hao mgambo wamezidi........wanawaonea sana hao watu.......hivi sheria inasemaje kuhusu hilo swala la kunyang'anywa vitu........?
 
Hawa mgambo ni maboya sana...walidhania wafanyabiashara wote ni wachaga walioenda MS
 
kichapo hakitoshi, wamkamate mgambo m1 halafu wamkate mkono muone kama watarudia tena hyo tabia.

Handeni miaka ya 1985 hivi kulikuwa na kamata kamata ya mgambo kwa wasiolipa kodi ya kichwa, mgambo wakavamia kijiji kimoja maeneo kati ya songe na kibirashi, wanakijiji walitembeza kichapo kwa mgambo wakawasambaratisha, wakamdaka mgambo m1 wakamwambia achague akatwe mkono upi, yeye akachagua wa kushoto, wao wakakata wa kulia. Kiukweli nijambo lakusikitisha ila simnajua mkuki mtamu kwa nguruwe kwa binadamu mchungu. Watu waovu wakitekeleza mambo yao kwa wasio na hatia ni utamu. Hawa jamaa hawakurudi tena mpaka kodi ya kichwa ilipofutwa.

Dawa yao kamateni m1 halafu muondoleeni mkono muone kama watarudia tabia yao ya kuonea raia
 
Kuna mgambo mmoja kama si wawili wamelazwa
 
Kweli kabisa hao mgambo wamezidi........wanawaonea sana hao watu.......hivi sheria inasemaje kuhusu hilo swala la kunyang'anywa vitu........?

Hao machalii huwa wanadanganywa eti wao ni wanajeshi wa akiba cjui nn wanajiona full makamanda kuna siku watakukutana na watu waliokata tamaa ya maisha watajuta kuzaliwa!!
 
Chadema kupigana kwao wanaona ndiyo ujanja.
 
Nilikuwa nje ya mji ndio nimeingia town mida hii.kumbe mgambo wa jiji la Arusha wametembezewa kichapo kitoka kwa wafanyabiashara ndogondogo.
Walitaka kuwabugudhi wafanyabiashara wachache waliobakia mjini kutafuta rizki japo ni siku ya krismasi.

Polisi wameokoa jahazi...!

Mery christmass

Wameshazoea na wale watezi wao waliokua wanawatetea kutokana na vile vihujuma walivyokua wanafanya sasa hawapo tena hawa mgambo walifanya makamanda wetu 2 tena madiwani Nanyaro na Msofe kwenda mahakamani kwakua walikua wanatetea machinga sasa wananchi wamechoshwa na huu udhalimu wanaofanya
 
yaani hao dawa yao ni bis bis ya mbavuni inazama mpaka ikute bandama ili wasizoee... Kuna mmoja kama mmasai katoboa masikio huyo ninahasira nae sana Kuna siku alinijibu hovyo sana huyo siku anapita kwenye 18 zangu yaani kisu cha takoni kitamuhusu pumbavu... yaani mijamaa ni mibishii... Sheria hayajui... yapo yapo tuu.. yaani haki ya Mama. nina Hasira nayo

yalinivunjia kubanda changu cha kuuza simu NA ndio nilitoka kuchukua mkopo sijarejesha hata Mara moja nikaweka kibanda hapo jogoo house nimepangishwa NA kodi ya miaka miwili nilisha lipa nimepiga kazi miezi sita kasoro wakabomoa hivii... unadhani nawawazieje...? nibora tummalizie mmoja ili iwe fundisho kwa wengine NA wanaowatumaga.
 
Hawa jamaa naona wameamua, Siku hizi ni jino kwa jino.
 
Back
Top Bottom