Mara nyingi hua kwenye mgahawa cha muhimu sana sio thamani ya vyombo. Cha muhimu ni location ya biashara, mandhali, na mauzo. Kwa mfano, kuna mgahawa upo kariakoo mtaa wa kipata na Rivington umenunuliwa kwa mil. 72. WAFANYABISHA HAPO NAAMINI WANANIELEWA.