Mgahawa

Leta picha mkuu dhamani ya mgahawa ni vitu tuvione au orodhesha
 
Itapendeza kama anaewiwa akaja kujionea. Maana hapa kwenye picha tutadanganyana.
 
Kwa maelezo zaidi piga sim au njoo ujionee kwa macho....
Mgahawa upo kamili unaingia na mtaji wako wa bidhaa za kupika tu. Mgahawa unafanya kazi masaa 24. Haufungwi usiku wala mchana. Na mgahawa umejikita hasa kwenye bites. Panatengenezwa bites usiku na mchana.
 
Waambie hivi kwa mwezi unapata faida kihasi gani ??
Kwanini yeye anaacha ??
 
Bado wanunuzi hawajafika bei. Karibuni.
 
Habari za asubuhi... boss kashusha bei. Karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…