Naogopa kuchangia nisije kuonekana sijaelewa kitu.kweli jaba Hilo nalijua NI Karibu lita 120 ila Sasa huo mfuniko na wenyewe unafanana na zaga kandude.nadhani subiri waje kukupa mwongozo

Niliacha mfuniko wa jaba kubwa nje wakati nakinga maji ya mvua. Nao ukakinga maji, kutoa, imetoka ndoo kubwa na robo. Kama lita 25 hivi. I thought you should know