Mfungo umeanza...!!!!

msimkwaze Mzizimkavu jamani....mie nitakuja ila msimuambie my husband MziziMkavu..lol:sleepy:


Neema halikuwa lengo langu kumkwaza mumeo,ila kama itatokea hivyo nina imani atakusikiliza utakaponiombea msamaha,ila wewe karibu tu tuendelee hubby wako sitamuambia kama tulikuwa wote.....
 
Last edited by a moderator:
Amepika mkeo?





Ndugu yangu bahati mbaya sana bado niko kwenye mchakato wa kutafuta mwenza wa maisha,kwa hiyo mambo haya huwa naandaa mwenyewe au kama nimechoka basi napitia kwa Shirima....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…