Huwataki wafukuze,shida iko wapi":Kwanza natanguliza wazi mimi ni Muislam wa kuzaliwa na kuamini. Pia sina lengo la kukashifu dini yoyote au imani ya mtu. Bali najaribu kuelezea mambo yanayojili katika mwezi huu wa Ramadhani ambayo , kisheria na kiustaarab hayako sawa kabisa.
Nitaelezea jambo moja. Wenyewe tumezoea kuliita kupiga daku. Hizi ni ngoma wazozunguka vijana kupiga katikaajumba kwa lengo 'sijui ni lipi'. Nasema sijui ni lipi.
Kipindi cha nyuma ilikua zaidi wanazunga majumbani usiku kuamsha watu kula chakula cha usiku mkubwa(daku). Hivyo mantiki yake ilikua ni kuamsha watu, na walioamshwa waliwapa senti kidogo kama sadaka.
Kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia-Siku hizi kuna alarms, pia suala la usalama kuwa dogo maeneo mengi hawa wamaepungua kufanya shughuli hii.
Lakini kupiga mchana sijui hasa mantiki yake ni nini.
Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni hiki.
Leo mida ya mchana nilikua dinning, na bi mkubwa(mwenye shida ya pressure), na baadhi ya family members. Ghafla tukasikia ngoma zinapigwa ndani kwa nguvu wakiimba. Waliimba na kupiga ngoma kwa muda wa dakika takribani kumi. Finally nikatoka na kuanza kuwaeleza kuwa wanakosea, wakaanza kulalamika kuwa siwafanyii vyema, niwape sadaka waondoke. Sikuwapa hata sh moja, wakaendelea kupiga ngoma kwa takribani dakika 20, walipochoka wakaondoka.
Hii ni tabia kwa watu waliokulia mazingira ya mikoa ya kiislamu ni common sana.
Ni mazoea sana, ni tabia za kawaida. Lakini kiundani zina athari sana. Na inapashwa ikemewe sana.
1. Kuingia nyumba ya mtu bila kuruhusiwa hiyo ni trespassing na ni kosa kisheria, ukimkuta mtu aliye 'pinda', hawa vijana watalala 'ubaoni'.
2. Ni mwanzo na dalili za wizi.
3. Inaweza kuwa ni uchoraji wa mazingira ya ujambazi. Mchana daku usiku wanarudi ujambazi.
4. Inaweza sababisha mauaji. Mfano hawajui ni nani yumo ndani na ana maradhi gani, sauti za ghafla zinaweza kuleta mauti.
5. Si kila nyumba ni waislam, na hata kama ni waislamu si wote wanataka 'kelele' hizo.
Ndugu zangu waislam(hasa), tukemee suala hili na tuache kulilea, tunatengeza vibaka, na kulemaza kuacha kufanya kazi kutegemea kupewa 'sadaka'.
Umetoa hoja pia kwamba zamani mantiki ya hao vijana ilikuwa kuwaamsha watu waliolala wale daku. Siku hizi kuna alarm. Watu hawahitaji kuamshwa.Elewa hoja yangu. Vijana kuvamia miji ya watu na kuanza kupiga ngoma bila ruhusa.
Ndugu zangu waislam(hasa), tukemee suala hili na tuache kulilea, tunatengeza vibaka, na kulemaza kuacha kufanya kazi kutegemea kupewa 'sadaka'.
Hiyo sio dini....hata ukiwafukuza hakuna atakaekulaumuElewa hoja yangu. Vijana kuvamia miji ya watu na kuanza kupiga ngoma bila ruhusa.
MTOA MADA NIKUSAIDIE KITUKwanza natanguliza wazi mimi ni Muislam wa kuzaliwa na kuamini. Pia sina lengo la kukashifu dini yoyote au imani ya mtu. Bali najaribu kuelezea mambo yanayojili katika mwezi huu wa Ramadhani ambayo , kisheria na kiustaarab hayako sawa kabisa.
Nitaelezea jambo moja. Wenyewe tumezoea kuliita kupiga daku. Hizi ni ngoma wazozunguka vijana kupiga katikaajumba kwa lengo 'sijui ni lipi'. Nasema sijui ni lipi.
Kipindi cha nyuma ilikua zaidi wanazunga majumbani usiku kuamsha watu kula chakula cha usiku mkubwa(daku). Hivyo mantiki yake ilikua ni kuamsha watu, na walioamshwa waliwapa senti kidogo kama sadaka.
Kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia-Siku hizi kuna alarms, pia suala la usalama kuwa dogo maeneo mengi hawa wamaepungua kufanya shughuli hii.
Lakini kupiga mchana sijui hasa mantiki yake ni nini.
Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni hiki.
Leo mida ya mchana nilikua dinning, na bi mkubwa(mwenye shida ya pressure), na baadhi ya family members. Ghafla tukasikia ngoma zinapigwa ndani kwa nguvu wakiimba. Waliimba na kupiga ngoma kwa muda wa dakika takribani kumi. Finally nikatoka na kuanza kuwaeleza kuwa wanakosea, wakaanza kulalamika kuwa siwafanyii vyema, niwape sadaka waondoke. Sikuwapa hata sh moja, wakaendelea kupiga ngoma kwa takribani dakika 20, walipochoka wakaondoka.
Hii ni tabia kwa watu waliokulia mazingira ya mikoa ya kiislamu ni common sana.
Ni mazoea sana, ni tabia za kawaida. Lakini kiundani zina athari sana. Na inapashwa ikemewe sana.
1. Kuingia nyumba ya mtu bila kuruhusiwa hiyo ni trespassing na ni kosa kisheria, ukimkuta mtu aliye 'pinda', hawa vijana watalala 'ubaoni'.
2. Ni mwanzo na dalili za wizi.
3. Inaweza kuwa ni uchoraji wa mazingira ya ujambazi. Mchana daku usiku wanarudi ujambazi.
4. Inaweza sababisha mauaji. Mfano hawajui ni nani yumo ndani na ana maradhi gani, sauti za ghafla zinaweza kuleta mauti.
5. Si kila nyumba ni waislam, na hata kama ni waislamu si wote wanataka 'kelele' hizo.
Ndugu zangu waislam(hasa), tukemee suala hili na tuache kulilea, tunatengeza vibaka, na kulemaza kuacha kufanya kazi kutegemea kupewa 'sadaka'.
Plizi, recheck ze number and kol egein[emoji135][emoji135][emoji135]The number your calling is not reachable.[emoji28]
Adhan ni sehemu ya ibada. Na ndio maana ibada haikamiliki bila Adhan. Hivyo hata kama watu wanayo Alarm, adhan still ni lazima. Kuondoa Adhan, ni kuvunja ibada.Umetoa hoja pia kwamba zamani mantiki ya hao vijana ilikuwa kuwaamsha watu waliolala wale daku. Siku hizi kuna alarm. Watu hawahitaji kuamshwa.
Nikakuuliza, muazzin naye anaamsha watu waliolala wakaswali. Kwa kuwa kuna alarm siku hizi, tuache kufanya azzana?
Hujajibu.
Sasa si waweke adhana kwenye alarm halafu iwafikie wale wanaotaka tu, wanaoona usumbufu wasiipate.Adhan ni sehemu ya ibada. Na ndio maana ibada haikamiliki bila Adhan. Hivyo hata kama watu wanayo Alarm, adhan still ni lazima. Kuondoa Adhan, ni kuvunja ibada.
Hahaha. Hao watoto wahuni tu.Ninakumbuka ngoma za kula daku tulipokuwa wadogo huku kwetu Kwamtogole zilipigwa baada ya insha, kuna mama mmoja alikuwa mnene sana.
Watoto wa kula damu wamekwenda kwake wakaanza kuimba “ mke mnene sioi mke mnene sioi bwana. Akilala kitandani kama gunia la nazi bwana.” Aliwafukuza tena akiwaonyesha hela aliyopanga kuwapa.
Au simu si waweke alarm?....tatizo wana show off sana!Yaaan mm najiulizaga hivi Wao hawajui muda huu ni wakuamka kwenda kula daku au kwenda misikitini
Vitu vingine bana useme Wanakujia juu ati makafiri
nimefanya sana hii kitu sema tuliambulia pilau sanaHa ha ha nmekumbuka those days mnajumuika na watoto wa kiislam wenzetu mtaan tunapiga kula daku ili tupate hela ya kwenda kutembea siku ya sikukuu.
Yeah maish ya kipind kile yaliruhusu sana hvi vitu kufanyika tunavaa vinyago na kuweka nguo kwenye matumbo kama kitambi hvi daahnimefanya sana hii kitu sema tuliambulia pilau sana
Sisi tulijipaka unga usoni full mdundiko Tukitoka tunwpitilizia mtoni kuoga then tunaenda raidiYeah maish ya kipind kile yaliruhusu sana hvi vitu kufanyika tunavaa vinyago na kuweka nguo kwenye matumbo kama kitambi hvi daah
Our childhood era was awesome ki ukwel.Sisi tulijipaka unga usoni full mdundiko Tukitoka tunwpitilizia mtoni kuoga then tunaenda raidi