mfumuko wa massage centres

mfumuko wa massage centres

papaa2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2012
Posts
411
Reaction score
101
ni kwanini kumekuwako na massage centre nyingi kama saloon lakini wateja hawaonekani?hata mnapokuwa kijiweni ni nadra kumsikia rafiki akikueleza kuwa alikuwa huko
 
Wateja wapo. Kama wasingekuwepo zingefungwa. Pia zina mambo mengi so si lazima wateja wa massage wapatikane ndo maisha yasonge. Si unaelewa hapa mjini kuna mambo mengi.
 
Huko mtu akiingia hatoki hadi akamuliwe kikubwa (no evidence lakini msije nitoa roho yangu buree)
 
Umesema ukweli Sista!
Mm nimeacha kwenda huko kwasababu wahudumu wananiwekea mazingira ya kupatiwa huduma ya ziada ya Kikubwa!
 
kuna siku nilienda ya kichina wale wahusika wakaniambia nikitaka huduma nyingine niseme tena nitapewa na wawili kwa dolla 100.

nikakataa. nilichoamua kufanya utafiti kwa nyingine nikagundua ayo ni madanguro yaliyokuja kiharali.

kuna mambo ya ngono yanaendelea umo ukikataa wanakutega makusud uingie king bora msiende tu
 
Zipo nyingi tu, Kinondoni, Mikocheni, msasani, na sinza. Kwakuwa lazima uvue nguo zote visa utakavyofanyiwa lazima uombe kukamuliwa, ila kuna extra cost ya huduma hiyo! Kwa ufupi hawana jipya zaidi ya kuuza, japo yapo yanayofanya kazi serious.

Body without head
 
ni kweli kabisa aiseee
 
kuna siku nilienda ya kichina wale wahusika wakaniambia nikitaka huduma nyingine niseme tena nitapewa na wawili kwa dolla 100.

nikakataa. nilichoamua kufanya utafiti kwa nyingine nikagundua ayo ni madanguro yaliyokuja kiharali.

kuna mambo ya ngono yanaendelea umo ukikataa wanakutega makusud uingie king bora msiende tu

Kichina? aisee ni wapi huko?:smile-big:
 
Ngoja niunge unge..nami niende nikajionee...mwenyewe dunia inavyoangamia..
 
Back
Top Bottom