Mfumuko wa bei wapanda kwa asilimia 1.4

Mfumuko wa bei wapanda kwa asilimia 1.4

Huu sio muda mzuri wa kuuza mahindi kibiashara kwani wakulima wengi kipindi hiki washaanza kuvuna.
Labda kama unauzia shida vinginevyo mahindi yako yawekee dawa ya kudhibiti wadudu usubiri Kuanzia Nov-Dec huko.
 
Mwanza. Kisado kimoja ni 5500 km upo vizuri. Peleka mwanza mkuu.
 
660,000/= yote magunia 10 uyapandishe gar za Kasablanca/Ruksa nitalipia gharama za tanboys na tolori
 
Huu sio muda mzuri wa kuuza mahindi kibiashara kwani wakulima wengi kipindi hiki washaanza kuvuna.
Labda kama unauzia shida vinginevyo mahindi yako yawekee dawa ya kudhibiti wadudu usubiri Kuanzia Nov-Dec huko.
 
leta dodoma mkuu,debe 22-25,
Wapi Dodoma nilete nami gunia zangu

Back
Top Bottom