Mfumuko wa bei unapimwa kwenye nafaka tu?

Mfumuko wa bei unapimwa kwenye nafaka tu?

MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
3,956
Reaction score
3,245
Mara nyingi nimesikia Serikali/Statistics officer wakisema mfumuko umepungua, wanataja mazao peke yake

Sukari
Ngano
Mafuta ya kula/kupika
Gesi ya kupikia
Mafuta taa
Nguo madukani
Vyote hivyo hapo juu hawataji....

Wananchi wana macho na ndio wanaohusika kila siku, wananchi wanajua kama mfumuko wa bei umepungua au la...kabla serikali haijasema/statictics

Hata uchumi kukua au shillingi kuongezeka thamani, wananchi wanaona katika maisha yao
 
Back
Top Bottom