naiona gharama kubwa sana ya kuirejesha mifumo iliyo kuwepo awali tena gharama kubwa kabisa baada ya jiwe na vibaraka wake kutoka madarakani maana hata mawaziri husika sijui wana kazi gani matatizo ni yale yale na tena yamezidKama kaweza kulipoka madaraka Bunge, sembuse watumishi was umma?
Kiasi kikubwa mahakama ni hivyo hivyo. Wamebaki mahakimu na majaji wachache weye uwezo wa kusimamia uhuru wa mahakama.
Kuna sehemu atakwama tu.
Standing Orders zimesiginwa hauelweki tena. Utawala wa awamu yA sita utapata Shida SanaNami nina swali kama hilo
Jana nimesikia wanamkaanga Dr. Mpango. Wanasahau kwamba de facto Finance Minister ni Magufuli mwenyewe.naiona gharama kubwa sana ya kuirejesha mifumo iliyo kuwepo awali tena gharama kubwa kabisa baada ya jiwe na vibaraka wake kutoka madarakani maana hata mawaziri husika sijui wana kazi gani matatizo ni yale yale na tena yamezid
walio weka mfumo nchi iwe na sheria hawakukosea ona mambo yanakwenda hovyo hovyoJana nimesikia wanamkaanga Dr. Mpango. Wanasahau kwamba de facto Finance Minister ni Magufuli mwenyewe.
Mawaziri wamekosa ujasiri wa kuachia ngazi maana hawana kazi kabisa.
Awamu ya sita itahitaji muda wa kutosha kuirudisha nchi kwenye reli.Standing Orders zimesiginwa hauelweki tena. Utawala wa awamu yA sita utapata Shida Sana
Hata ukipandishwa hulipwi kama alivyotamka bali utasubiri hadi apende napo hutolipwa bali itatolewa orodha ya watu wachache nawe utapewa matumaini kuwa utalipwa awamu ijayo! Unakumbuka aliagiza kuwa upatapo barua ya daraja na mshahara wako wa mwezi huo unabadilika mwezi huohuo? Imekuwa kinyume kwani waliopandiahwa April mosi hadi leo mishahara yao ni ileile ya kabla ya daraja! Hakuna maelezo wala mshahara mpya zaidi ya kuambiwa usubirie arrears ambazo hazijulikani zitatolewa lini na huenda May mosi nyingine labda! Wafanyakazi jiongezeni kwani maisha haya siyo!Mie sihitaji kupandishwa mshahara,nachotaka Ni daraja langu sitahiki Na wakati sitahiki maana Ni haki yangu ya msingi ya kiutumishi.
Kama kichwa kisemavyo hapo juu utumishi wa uma kwa sasa haueleweki
Maamuzi mengi yanategemea kauli ya aliye juu yako na si sheria tena inayo zingatiwa
Utumishi umekuwa wa mashaka kila siku maana huyu anapandishwa leo kesho kashushwa bila sababu , atapandishwa huyu yule ataondolewa bila sababu , huyu ata mtukana yule ili mradi tuu yuko juu yake ., utumishi hauna heshima tena na amani ya kazi imetoweka
Imefika hatua hata mwenye kiti wa chama kata anaweza kumtusi DMO hadharani huku akishangiliwa
Utumishi umevamiwa na wahuni hakuna tija uwepo wa sheria za utumishi maana kila mara ni vitisho na mikwara kwa watumishi
Nini kifanyike kurudisha heshima kwa watumishi waheshimiwe na watekeleze majukumu yao kwa umakini?
Tanzania inapitia kipindi kigumu sana ktk historia yake