Habari za wakati huu;
Wamiliki wengi na wasimamizi wa shule wanatumia mifumo mbalimbali ya usimamizi wa shule.Leo ninataka nitambulishe kwenu mfumo wa usimamizi wa shule ambao ni wa kipekee wenye sifa zifuatazo:
Mfumo huo ni open source kwa maana unaweza kufanyiwa maboresho na marekebisho yoyote kwa kadiri ya mahitaji yako
Mfumounafanya kazi kwa modules
Mfumo unashughuli zote za usimamizi wa shule na mafunzo
Mfumo unatumika na shule zinazofuata mtaala wa kimataifa kama GCSE,CAmbridge na unasisitiza Kumfuatilia mwanafunzi katika kila eneo la maisha yake.
Je ungependa kufahamu zaidi kuhusu mfumo huu na kuujaribu?Tuwasiliane kwa email:sales@tzhosts.com