Mfumo wa uongozi wa chama cha ACT-Tanzania

Mfumo wa uongozi wa chama cha ACT-Tanzania

Mtoa mada moja sio mfuatiliaji wa siasa za kimataifa mfumo huu faida yake ni moja tu unakitenganisha chama na dola endapo chama hiki kitachukua dola mfumo huu unakiondoa chama kuwa chama dola mfano MDC ya Shanghalai ANC-Zuma ndio kiongozi mkuu na ODM-Odinga ndio kiongozi mkuu wa chama kwahy jambo hili sio geni,kwahy Zitto ni kiongozi wa chama na sio kiongozi mkuu
Mkuu uko vizuri up stair au ndio weekend imeanza???
 
Watu wanaamini CDM ibaki pekee yake kama chama cha upinzani. Huu ni kupungukiwa ufahamu.

Hata kama kila mtu ataanzisha chake, mwisho kitasimama kimoja.
 
salaam jf,

mimi nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za vyama vya upinzani hapa tanzania, pamoja na mifumo yake ya uongozi, sasa kuna hiki chama kipya cha act tanzania, naomba washika dau wa hiki chama ikiwezekana zitto mwenyewe anifafanulie hili ili watanzania wengine tuweze kufahamu.

Kwa ufahamu wangu, sijajua bado act inafuata mfumo upi wa uongozi unaoruhusu kuwa na kiongozi mkuu wa chama, mwenyekiti wa chama na katibu mkuu wa chama.

Mara nyingi ndugu yetu zitto kabwe amekuwa akijipambanua kwamba ni muumini wa demokrasia na anayeheshimu katiba, na nilipata kusikia kutoka kwa viongozi wa act kwamba katiba ya act hairuhusu mtu ambaye hajatimiza miezi sita ndani ya chama kugombea uongozi wa chama, sasa hii nafasi ya kiongozi mkuu wa chama, imetoka wapi? Na jee aligombea na nani hadi kushinda nafasi hiyo maana majina yaliyotolewa wakati wa uchaguzi yalikuwa ya nafasi nyingine za uenyekiti na ukatibu etc, je katiba yao inaelezeaje kuhusu upatikanaji wa kiongozi mkuu wa chama? Kuna umuhimu gani wa kuwepo kwa mwenyekiti kama kuna mtu anayeitwa kiongozi mkuu?

Nikipata majibu ya kuridhisha kwa swali hili, huenda nikapata ushawishi wa kutaka kujua zaidi tofauti iliyopo kati ya chama hiki kipya na vyama vingine vya siasa na huenda nikafanya maamuzi sasa.

-
weareanonymous

huyu ndo mwenye chama kiona mbali wa sera za chama. Nahisi hapa atakuwa ni zzk au cio
 
Salaam JF, Mimi nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za vyama vya upinzani hapa Tanzania, pamoja na mifumo yake ya uongozi, sasa kuna hiki chama kipya cha ACT Tanzania, naomba washika dau wa hiki chama ikiwezekana Zitto mwenyewe anifafanulie hili ili Watanzania wengine tuweze kufahamu. Kwa ufahamu wangu, sijajua bado ACT inafuata mfumo upi wa uongozi unaoruhusu kuwa na Kiongozi Mkuu wa Chama, Mwenyekiti wa Chama na Katibu Mkuu wa Chama. Mara nyingi ndugu yetu Zitto Kabwe amekuwa akijipambanua kwamba ni muumini wa demokrasia na anayeheshimu katiba, na nilipata kusikia kutoka kwa viongozi wa ACT kwamba katiba ya ACT hairuhusu mtu ambaye hajatimiza miezi sita ndani ya chama kugombea uongozi wa chama, sasa hii nafasi ya kiongozi mkuu wa chama, imetoka wapi? na jee aligombea na nani hadi kushinda nafasi hiyo maana majina yaliyotolewa wakati wa uchaguzi yalikuwa ya nafasi nyingine za uenyekiti na ukatibu etc, je katiba yao inaelezeaje kuhusu upatikanaji wa kiongozi mkuu wa chama? Kuna umuhimu gani wa kuwepo kwa mwenyekiti kama kuna mtu anayeitwa kiongozi mkuu? Nikipata majibu ya kuridhisha kwa swali hili, huenda nikapata ushawishi wa kutaka kujua zaidi tofauti iliyopo kati ya chama hiki kipya na vyama vingine vya siasa na huenda nikafanya maamuzi sasa. - WeAreAnonymous
Sasa km kapindua,na mwenyekiti kaenda mahakamani unadhani watafanya nini zaidi ya kugawana mbao.na kumtengenezea nafasi km ya Putin..huyo ndie Zitto na CCM imemtegea km atawazidi nguvu basi watangaze huu uovu hadi apotee ktk siasa ,kisha aanza lishwa km mrema na cheyo
 
ZZK anajinasibu ati atakuwa mwanasiasa mahili tena asahau kabisa Hamadi rashidi alipofukuzwa alisema ataiua cuf sas haif
 
ZZK anajinasibu ati atakuwa mwanasiasa mahili tena asahau kabisa Hamadi rashidi alipofukuzwa alisema ataiua cuf sas haif
Kushindana na Nguve ya Mungu nikujitafutia Aibu mchana kweupe
 

Attachments

  • 11083942_801040546652716_1559526027667200553_n.jpeg
    11083942_801040546652716_1559526027667200553_n.jpeg
    22.5 KB · Views: 114
Msiishi kwa kukariri, mbona kila mara zito? mtahangaika sana kuwaza jinsi ya kumchafua ila hamtaweza. Uliza wabunge wengi wa Chadema ni nani aliwavutia mpaka wakajiunga Chadema kama hawatamtaja ZZK
 
Back
Top Bottom