Mfumo wa uongozi wa chama cha ACT-Tanzania

Tufike mahali tuwaache ACT wajenge chama chao. Tunafahamu chama kipo na kina mfumo wake na viongozi. Mfumo na muundo wa chama ni kwa ajili ya matakwa ya wanachama. Kama sio utaona huuelewi basi jua chama hikikuhusu.

Matakwa ya ZZK
 
Jana alikiri mwenyewe kwenye Hotmix ya EATV kwamba walianzisha ACT akawatanguliza wenzake.

ACT NI Chama cha Kifalme mtoto wa mfalme hahitaji kugombea nafasi ya Ufalme umri umefikia yeye kuwa mfalme,na Ufalme WA Zitto ZUBERR KABWE ni wakudumu. natumai sasa mmeelewe .

ACT -WAZALENDO.NI chama chake sio cha watanzania
hata kibajaji alisema ZITTO SIO MSAFI.
 
Salaam JF,

Mimi nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za vyama vya upinzani hapa Tanzania, pamoja na mifumo yake ya uongozi, sasa kuna hiki chama kipya cha ACT Tanzania, naomba washika dau wa hiki chama ikiwezekana mtu anayeitwa Mwl Kaijage au Zitto mwenyewe anifafanulie hili pamoja na Watanzania wengine ambao tungependa kufahamu.

Kwa ufahamu wangu, sijajua bado ACT inafuata mfumo upi wa uongozi unaoruhusu kuwa na Kiongozi Mkuu wa Chama, Mwenyekiti wa Chama na Katibu Mkuu wa Chama.

Mara nyingi ndugu yetu Zitto Kabwe amekuwa akijipambanua kwamba ni muumini wa demokrasia na anayeheshimu katiba, na nilipata kusikia kutoka kwa viongozi wa ACT kwamba katiba ya ACT hairuhusu mtu ambaye hajatimiza miezi sita ndani ya chama kugombea uongozi wa chama, sasa hii nafasi ya kiongozi mkuu wa chama, imetoka wapi? na jee aligombea na nani hadi kushinda nafasi hiyo maana majina yaliyotolewa wakati wa uchaguzi yalikuwa ya nafasi nyingine za uenyekiti na ukatibu etc, je katiba yao inaelezeaje kuhusu upatikanaji wa kiongozi mkuu wa chama? Kuna umuhimu gani wa kuwepo kwa mwenyekiti kama kuna mtu anayeitwa kiongozi mkuu?

Nikipata majibu ya kuridhisha kwa swali hili, huenda nikapata ushawishi wa kutaka kujua zaidi tofauti iliyopo kati ya chama hiki kipya na vyama vingine vya siasa na huenda nikafanya maamuzi sasa.

-
WeAreAnonymous

ZZK aliwatanguliza wenzake wakina mwigamba na Kitila kuanzisha chama sasa wakamtumia mzoefu wa kujua jinsi ya utaratibu wa kuanzisha chama wakamuomba Limbu kwa niaje njema akawa wasaidia huku mwigamba na kitila wakiwa na lao moyoni kuwa wametumwa na msaliti mwenzao.sasa inaonekana katiba waliyotengeneza awali mfalme alipojifukuzisha CDM na kwenda kwenye chama chake ACT nakukuta wamekosea baadhi ya vifungu ambavyo vilikuwa vinamnyima ZZK nafasi ilibidi wafanye mabadiliko haraka ili mwenye chama anze na madaraka yake so walibadilisha na siku iliyofuta akapata nafasi yake ya kiongozi mkuu wa chama(Ayatolla) or suprem leader na kujifanya sio mwenyekiti wa chama taifa.
 
ACT NI Chama cha Kifalme mtoto wa mfalme hahitaji kugombea nafasi ya Ufalme umri umefikia yeye kuwa mfalme,na Ufalme WA Zitto ZUBERR KABWE ni wakudumu. natumai sasa mmeelewe .

ACT -WAZALENDO.NI chama chake sio cha watanzania
hata kibajaji alisema ZITTO SIO MSAFI.

unadhani Wazalendo ni kama CDM chama cha Mtei na mkwewe Dj Mbowe
 
ZZK ni mpenda madaraka na hana uzalendo wowote,ni mroho wa madaraka kama wengi,demokrasia anayoisema labda ni hii ya kuanzisha usultani kwenye vyama kama chama chake.
 
ZZK uzalendo wake ni kupigania madaraka haswa na sasa ameyapata ni Ayatolla wa ACT.Hongera yake.
 
Salaam JF,

Mimi nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za vyama vya upinzani hapa Tanzania, pamoja na mifumo yake ya uongozi, sasa kuna hiki chama kipya cha ACT Tanzania, naomba washika dau wa hiki chama ikiwezekana mtu anayeitwa Mwl Kaijage au Zitto mwenyewe anifafanulie hili pamoja na Watanzania wengine ambao tungependa kufahamu.

Kwa ufahamu wangu, sijajua bado ACT inafuata mfumo upi wa uongozi unaoruhusu kuwa na Kiongozi Mkuu wa Chama, Mwenyekiti wa Chama na Katibu Mkuu wa Chama.

Mara nyingi ndugu yetu Zitto Kabwe amekuwa akijipambanua kwamba ni muumini wa demokrasia na anayeheshimu katiba, na nilipata kusikia kutoka kwa viongozi wa ACT kwamba katiba ya ACT hairuhusu mtu ambaye hajatimiza miezi sita ndani ya chama kugombea uongozi wa chama, sasa hii nafasi ya kiongozi mkuu wa chama, imetoka wapi? na jee aligombea na nani hadi kushinda nafasi hiyo maana majina yaliyotolewa wakati wa uchaguzi yalikuwa ya nafasi nyingine za uenyekiti na ukatibu etc, je katiba yao inaelezeaje kuhusu upatikanaji wa kiongozi mkuu wa chama? Kuna umuhimu gani wa kuwepo kwa mwenyekiti kama kuna mtu anayeitwa kiongozi mkuu?

Nikipata majibu ya kuridhisha kwa swali hili, huenda nikapata ushawishi wa kutaka kujua zaidi tofauti iliyopo kati ya chama hiki kipya na vyama vingine vya siasa na huenda nikafanya maamuzi sasa.

-
WeAreAnonymous

Zitto amepatikana kama anavyopatikana AYATOLAH,refer Ayatolah Khomein!
Kwa hiyo Zitto ni Ayatolah wa kwanza wa ACT, AYATOLAH ZUBERI ZITTO KABWE WA 1.

Ayatollah Khomeini became the supreme religious leader of the Islamic Republic of Iran in 1979, following many years of resistance to Shah Pahlavi.

Ayatolla-Khomeini-225x300.jpg.html

1403.jpg

Shikamoo Ayatolah Zuberi zitto kbwe!

Ayatolal ZUBERI ZITO KABWE 1 ACT.
 
ZZK sio tu ni msaliti wa taifa, mnafiki na sasa ni wazi ni muongo, shame kwa Mkumbo prof gani anaambatana na waongo, wasaliti na wanafiki??? ZZK ni hatari kwa ustawi wa taifa apigwe vita kama ebola
 
Salaam JF,

Mimi nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za vyama vya upinzani hapa Tanzania, pamoja na mifumo yake ya uongozi, sasa kuna hiki chama kipya cha ACT Tanzania, naomba washika dau wa hiki chama ikiwezekana Zitto mwenyewe anifafanulie hili ili Watanzania wengine tuweze kufahamu.

Kwa ufahamu wangu, sijajua bado ACT inafuata mfumo upi wa uongozi unaoruhusu kuwa na Kiongozi Mkuu wa Chama, Mwenyekiti wa Chama na Katibu Mkuu wa Chama.

Mara nyingi ndugu yetu Zitto Kabwe amekuwa akijipambanua kwamba ni muumini wa demokrasia na anayeheshimu katiba, na nilipata kusikia kutoka kwa viongozi wa ACT kwamba katiba ya ACT hairuhusu mtu ambaye hajatimiza miezi sita ndani ya chama kugombea uongozi wa chama, sasa hii nafasi ya kiongozi mkuu wa chama, imetoka wapi? na jee aligombea na nani hadi kushinda nafasi hiyo maana majina yaliyotolewa wakati wa uchaguzi yalikuwa ya nafasi nyingine za uenyekiti na ukatibu etc, je katiba yao inaelezeaje kuhusu upatikanaji wa kiongozi mkuu wa chama? Kuna umuhimu gani wa kuwepo kwa mwenyekiti kama kuna mtu anayeitwa kiongozi mkuu?

Nikipata majibu ya kuridhisha kwa swali hili, huenda nikapata ushawishi wa kutaka kujua zaidi tofauti iliyopo kati ya chama hiki kipya na vyama vingine vya siasa na huenda nikafanya maamuzi sasa.

-
WeAreAnonymous

tulia tuli
 
Huoni? Hivi mzalendo ni nani? Na wewe ni mzalendo?

Mzalendo ni mtu alie jitolea kulilinda taifa lake katika namna yeyote ile.Napia anaweza kufa kwa ajili ya maslahi ya taifa.Pia jeshini mzalendo ndio cheo cha kwaza kabla ya Kurutu,Private na Ofisa.Yap mimi ni mzalendo tena daraja la kwanza.
 
Hayo ya kiongozi mkuu alitaka ayaanzishe Cdm akashtukiwa, mchumia tumbo tu huyo hana lolote.
 
North Korea walikuwa na aina ya system kama hiyo inaoyoamini katika democratic centralism (communist system). Whereas Kim il Sung alikuwa anitwa Kiongozi Mkuu akiwa na powers over the party, mwanae Kim il Song alikuwa na cheo cha Kiongozi Mpendwa also above party and government authorities. Likewise Zito is above ACT party authority and the constutution of ACT.
 
ACT ni wazalendo kwa kueneza udini ili waungwe mkono mfano kigoma.ZZK pia ni mzalendo kwa kupenda totozii sana.

anapenda totozi kuliko bwana Slaa aliemsaliti mungu na kwenda kugonga mke wa mwenzie
 
Mtoa mada kama lugha ya kiongozi mkuu inakupa shida,,

tumia lugha hii
muasisi wa chama.....
 
Salaam JF,

Mimi nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za vyama vya upinzani hapa Tanzania, pamoja na mifumo yake ya uongozi, sasa kuna hiki chama kipya cha ACT Tanzania, naomba washika dau wa hiki chama ikiwezekana Zitto mwenyewe anifafanulie hili ili Watanzania wengine tuweze kufahamu.

Kwa ufahamu wangu, sijajua bado ACT inafuata mfumo upi wa uongozi unaoruhusu kuwa na Kiongozi Mkuu wa Chama, Mwenyekiti wa Chama na Katibu Mkuu wa Chama.

Mara nyingi ndugu yetu Zitto Kabwe amekuwa akijipambanua kwamba ni muumini wa demokrasia na anayeheshimu katiba, na nilipata kusikia kutoka kwa viongozi wa ACT kwamba katiba ya ACT hairuhusu mtu ambaye hajatimiza miezi sita ndani ya chama kugombea uongozi wa chama, sasa hii nafasi ya kiongozi mkuu wa chama, imetoka wapi? na jee aligombea na nani hadi kushinda nafasi hiyo maana majina yaliyotolewa wakati wa uchaguzi yalikuwa ya nafasi nyingine za uenyekiti na ukatibu etc, je katiba yao inaelezeaje kuhusu upatikanaji wa kiongozi mkuu wa chama? Kuna umuhimu gani wa kuwepo kwa mwenyekiti kama kuna mtu anayeitwa kiongozi mkuu?

Nikipata majibu ya kuridhisha kwa swali hili, huenda nikapata ushawishi wa kutaka kujua zaidi tofauti iliyopo kati ya chama hiki kipya na vyama vingine vya siasa na huenda nikafanya maamuzi sasa.

-
WeAreAnonymous

kwanza weka hivyo vifungu vya katiba,,, alaf ndio nitakuja hapa,,, kumbuka kaTIBA YETU IPO KTK MITANDAO.
 
Mtoa mada moja sio mfuatiliaji wa siasa za kimataifa mfumo huu faida yake ni moja tu unakitenganisha chama na dola endapo chama hiki kitachukua dola mfumo huu unakiondoa chama kuwa chama dola mfano MDC ya Shanghalai ANC-Zuma ndio kiongozi mkuu na ODM-Odinga ndio kiongozi mkuu wa chama kwahy jambo hili sio geni,kwahy Zitto ni kiongozi wa chama na sio kiongozi mkuu
 
Back
Top Bottom