Daraja Makofia
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 695
- 901
Umenikumbusha Jumapili nilienda kwenye training ya mfumo utakaochukua nafasi ya OPRAS. Comments nyingi zilikuwa zinahusu unapotaka kumdhibiti mtu, kwanza boresha maslahi yake.
Kifupi, nilichokisikia pale ni kuwa mfumo utahujumiwa kama vilivyohujumiwa vingine.
Kifupi, nilichokisikia pale ni kuwa mfumo utahujumiwa kama vilivyohujumiwa vingine.