Mfumo wa kuandalia ratiba ya masomo mashuleni

Mfumo wa kuandalia ratiba ya masomo mashuleni

Sturmius

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
316
Reaction score
333
MFUMO WA KUANDALIA RATIBA YA MASOMO MASHULENI.

Mfumo huu umetengenezwa mahususi kwaajili ya kurahisisha kazi ya uandaaji wa ratiba ya masomo shuleni.

Kazi kuu ya mtumiaji ni

1. Kuingiza taarifa muhimu ambazo ni.
[emoji404]Idadi ya walimu waliopo shuleni
[emoji404]Idadi ya masomo yanayofundishwa shuleni
[emoji404]Idadi ya mikondo/streams zilizopo shuleni


2. Kuingiza majina ya walimu wote na masomo yao ya kufundishia

3. Kazi ya mwisho ni kuingiza masomo kwenye mfumo. HILO SIO GUMU KWA KUA

Masomo tayari yapo kwenye mfumo wewe utakuwa UNASELECT TU FROM THE LIST

Tambua kua mfumo unamikondo ya kutosha kwa kila darasa yani kuna form one A Hadi J

Na form two A Had J

Mpaka form 4 A Hadi J

So ni adjustable kwa upande wa mikondo.

Mara baada ya kujaza hizo taarifa hapo juu mfumo utachakata automatically yafuatayo.

1. Mfumo utakuonesha mwalimu ambaye vipindi vyake vimegongana.

Hii itasaidia kurekebisha kwa urahisi zaidi

2. Mfumo utachakata automatically idadi ya vipindi kwa kila somo na kwa kila darasa.
Hili litamsaidia muandaaji ajue ni mkondo upi unavipindi vichache kuliko mwingine au unavipindi vingi kuliko mkondo mwingine.

3. Mfumo utachakata automatically na kukuonesha
idadi ya vipindi vya kila mwalimu kwa wiki, kwamwezi na kwa mwaka.

4. Mfumo utakuoneshea summary ya masomo kwa kila darasa with respect to mwalimu wa hilo somo kwenye darasa husika.

CHAKIPEKEE ZAIDI.

Mfumo unaandaa ratiba kwa muonekano tofauti tofauti kama ifuatavyo ambapo mtaaluma ataamua kuprint ile atakayo pendezewa nayo.

1. Ratiba kuu inayoonesha masomo tu kwenye vipindi

2. Ratiba kuu inayoonesha majina ya walimu tu kwenye vipindi

3. Unaweza print EMPTY timetable kwaajili ya kufanya maandalizi ya ujazaji masomo kwenye mfumo kwa kujaza manually kwanza.

Ukihitaji mfumo huu wasiliana nami kwa simu number

0753538043
0622388166


KARIBUNI SANA.
 
Wapelekee pale SUA,morogoro.
jamaa hadi dunia ya leo ni chuo kikuu ila suala la ratiba ya masomo ni tatizo,ratiba yao haieleweki.
 
Wapelekee pale SUA,morogoro.
jamaa hadi dunia ya leo ni chuo kikuu ila suala la ratiba ya masomo ni tatizo,ratiba yao haieleweki.
Ngoja wanitafute tufanye KAZI
 
Back
Top Bottom