Bonesmen
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 929
- 993
subiri wajeeTafadhali ni naomba kueleweshwa vizuri... Kuna mdogo wangu amemaliza level 2 katika automobile engineering na cheti cha form form alichonacho ni cha D mbili za masomo ya Sanaa... Je anawezaje kuendelea kwa chuo kama NIT upande wa ordinary diploma??