Mfumo wa masomo VETA

Mfumo wa masomo VETA

kinywanyuku

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
3,849
Reaction score
3,066
Wadau naomba kujuzwa kuhusu Veta, nasikia ukisoma miaka mitatu ukifaulu mtihani wa CBA unaweza kwenda kusoma uinjinia katika vyuo vya tech kama DIT, nashukuru kama mtanijuza vizuri.
 
subir wanakuja
 
Mimi najua kuwa veta wanatumia mfumo wa kutahini wanafunzi kwa kutumia CBET hiyo CBA sijui labda uniambie hiyo CBA ikoje na imeanza lini kabla sijakupa maelezo ya swali lako.
 
Ni kweli ukifaulu vizr mtihan wa mwisho na ikapata level 3, unaruhusiwa kuomba dip bt lazima uwe na chet cha form iv na ufaulu pcm atleast Ds
 
Mimi najua kuwa veta wanatumia mfumo wa kutahini wanafunzi kwa kutumia CBET hiyo CBA sijui labda uniambie hiyo CBA ikoje na imeanza lini kabla sijakupa maelezo ya swali lako.

mfumo wa CBA uko hivi mwaka wa pili wanafanya mtihan wa level two ukifel utarudia yale masomo uliyofeli utapoingia mwaka wa tatu lakini kama ulifaulu level 2 mwaka wa pili na ukifaulu mtihan mwaka wa tatu nasikia unaweza kwenda kusoma uinjinia
 
Basi hiyo CBA siifahamu mimi najus tu CBET ambao ni mfumo mpya baada ya kuachana na mfumo wa zamani wa GRADE.
Mfumo wa CBET ili ufaulu unapaswa kupatia maswali yote na ikitokea umekosea sehemu ndogo tu maana yake umefeli mtihani mzima.
Kwa utaratibu huo nnaoufahamu kwa CBET ukipata hada level 2 inatosha kukupekeka chuo kama DIT ila kwa sharti la kuwe na cheti cha kidato cha nne.
 
ahsante vp wanaangalia jinsi ulivyofaulu form four au yaleyale matokeo ya veta yanatosha ?
 
Wanaaangalia ulvofaulu form four,ukiwa na cheti cha level 3 unaruhusiwa kwenda vyuo vya tech
 
ahsante vp wanaangalia jinsi ulivyofaulu form four au yaleyale matokeo ya veta yanatosha ?

Sijui kwa baadhi ya vyuo ila hata kama una D mbili au tatu za masomo ya sanaa unaweza kuchukuliwa kama umetokea veta, nakushauri upitie tovuti za vyuo mbalimbali uone vigezo walivyoviweka.Pia ni vizuri ungeeleza aina ya uandisi unaotaka kuusomea maana vigezo vinatofautiana.
 
ahsante nilikuwa nataka nisome civil engineering
 
Wewe nenda tu kama umemaliza veta na hujapass masomo ya science na hesabu kuna pre entry course utasoma kwa miezi michache utasoma hesabu,physics nk kisha watakupa mtihani ukipass ndio utaingia kuanza kozi yako rasmi.
 
Mi nilipita veta moshi nikatoka na.level two ya CBET kataka fani ya tools and die maker ngoja nikajaribu kuongeza ujuzi kama ntapata nafasi dit tatizo sijajua ni kozi gani itakuwa sahihi sana kutokana na nilichosomea....binafsi ninawazo la mechanical eng japo sina a b c zake inakuwaje,,kwa mwenye uelewa naomba nijuze
 
Tafadhali ni naomba kueleweshwa vizuri... Kuna mdogo wangu amemaliza level 2 katika automobile engineering na cheti cha form form alichonacho ni cha D mbili za masomo ya Sanaa... Je anawezaje kuendelea kwa chuo kama NIT upande wa ordinary diploma??
 
Back
Top Bottom