Ali Muhammad
Member
- Feb 22, 2021
- 5
- 3
Ni kweli kuwa mfumo wa kutunuku matokeo (grading system) ya ACSEE kwa mwaka 2021 umebadilika ?
Tueleze wa zamani ulikua je na wasasa uko je ili tuchangie vzriNi kweli kuwa mfumu wa kutunuku matokeo (grading system) ya ACSEE kwa mwaka 2021 umebadilika
Naunga hoja🖐️Tueleze wa zamani ulikua je na wasasa uko je ili tuchangie vzri