Mfumo wa king'amuzi kupitia satelite

Mfumo wa king'amuzi kupitia satelite

Joined
Jan 9, 2013
Posts
46
Reaction score
3
Mapema mnamo mwishon mwa mwaka huliopita 2012 kumekuwapo na kubadilisha mfumo wa urushaji matangazo ya kutoka analogy kwenda mfumo mpya wa digital.mfumo hauwezi kuathiri wale watumiaawo madish.kwani yenyewe upokea mfumo wa matangazo kupitia satelite yake kwa njia ya physical brock..na sio njia ya waves ambayo ilitumiwa na steshen za redio kurushia matangazo yake kupitia mfumo huo..
 
Mambo gani.kama hayakuhusu sheat it in ur home.,nat at me!! U tolk menancly and pointless as a child@MCD
 
Tafadhali mods angalieni watu kama hawa unajisajili tarehe 9 hujasoma sheria za humu uzielewe vizuri unaanza kukurupupa na pumba zako kwanza hili si jukwaa husika pili hiyo avatar yako hapa si fesibuku umekuja kuuza sura na lugha zako ulizoanza kutumia hapa sio fesibuku.
 
Jamani nigepata mtu akanifunza namna gani ya post kulingana na jukwaa husika ningeshukuru sana..
 
Yaani safi sana mr Kiula,nadhani kuna watu wanaingia kwenye topic ambazo hawazifahamu.Hili nijukwaa la ufundi tu. Kama kitu hukijui kaa kimya.Wenye kujifunza watapata materials.Kweli umewsaidia wliokuwa hawafahamu analogy na Digital
 
Back
Top Bottom