Mfumo wa gesi unafanyaje kazi magari?

Mfumo wa gesi unafanyaje kazi magari?

Church man

New Member
Joined
Aug 4, 2021
Posts
4
Reaction score
1
Natamani kujua mechanism ya gas kwenye gari, inafanyajefanyaje kazi ilihari pampu ni Moja?
 
Natamani kujua mechanism ya gas kwenye gari, inafanyajefanyaje kazi ilihari pampu ni Moja?
Gesi ndio raisi kabisa Kwa Sababu hata mafuta huwekwa kwenye matone madogo madogo then huongezewa upepo mkali na kufanya yawe mithili ya gesi na huingizwa mojamoja Kwenye combustion chamber lakini kwenye gesi hakuna huo mchakato Kwa gas huingia mojakwamoja labda hewa pekee yake.
 
Back
Top Bottom