Mfumo wa Elimu Wenye Rangi Madoadoa kama Chapati

MAKA Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
267
Reaction score
209
MAONI: Tanzania ni Nchi pekee ambayo kila Waziri wa Elimu ana Elimu yake, yaani anakuja na MFUMO wake wa Elimu.

SWALI: Huu mfumo utakoma lini au Wakubwa walishagundua hii ina manufaa kwao?
 
Tanzania sera ya elimu kila kiongozi anaibadilisha anavyotaka tu, yaani vurugu vurugu
 
Back
Top Bottom