Mfumo wa Elimu Tanzania ndo unachangia vijana wengi kukosa ajira?

Guy Isaac

Senior Member
Aug 10, 2019
126
60
Wakubwa Shikamoni, vijana wenzangu wa kike na wa kiume habari zenu?

Natumaini sisi sote tunaendelea vizuri na shughuri zetu za kila siku na M/mungu yu pamoja nasi tumeuona mwaka 2021 but si kwa mapenzi yetu bali ni mapenzi yake yeye.

Education is the key of life, Education is better than money , hizi baadhi ya speech zinazotumika sana mashuleni kwetu hasa ngazi ya O-level, anyway let me go direct to my topic.

It's true that 'Mfumo wa Elimu wa Tz ndo chanzo cha vijana kuwa useless to some extent?? and if Yes or no how?

Short explation according to my view plus uelewa wangu. Pindi nikiwa darasani walimu wangu karibia wote walikuwa wakidoubt sana about this structure but enzi zile sikuwa na uwezo wa kuelewa mambo kiundani zaid compared to this time.

Mara nyingi elimu yetu inatutengenezea mazngira ya kuwa job seekers rather than job creators ni course chache sana zinazotolewa vyuoni kwa ajiri ya kumtengenez mwanafunzi kuweza kujitengenezea ajira mara baada ya masomo addtion to that vijana wengi walio jiajiri wengi wao wamejiaari nje ya career zao au professional zao.

Ni kweli na ni dhahiri kijana wa sasa anayemaliza kidato cha sita na yule aliyeishia darasa la saba hawana tofauti zaidi ya kuzidiana vidato na mwonekano tu.

Je, serikali ya Tanzania inachukua hatua gani kuhakikisha elimu inayotolewa na taasisi zetu mbalimbali hasa taasisi za vyuo vikuu na vyuo vya kati vinahakikisha vibatoa wanafunzi walio bora zaidi kuanzia ubunifu mpaka kifkira?

Unaruhusiwa kudrop maoni yako juu ya hili swala.
 
Ili tatizo lingekuwepo Tanzania tu, mtazamo na uelewa wako ungekuwa na mashiko. Jambo la kustahajabisha hata ulimwengu wa kwanza wanakumbana na changamoto hii.
 
Ili tatizo lingekuwepo Tanzania tu, mtazamo na uelewa wako ungekuwa na mashiko. Jambo la kustahajabisha hata ulimwengu wa kwanza wanakumbana na changamoto hii.
Ni kweli kabisa lakin nchini kwetu limekuwa too much mkuu ukilinganisha na nchi zingine yaan idada ya graduators inazid kuwa kubwa ukilinganixha na job creation mtaani
 
Ni kweli kabisa lakin nchini kwetu limekuwa too much mkuu ukilinganisha na nchi zingine yaan idada ya graduators inazid kuwa kubwa ukilinganixha na job creation mtaani
kwa takwimu gani ndugu maana kuongea tu bila takwimu si vyema, Huwezi sema kwenu ni tatizo kubwa kuliko sehemu nyingine Kama hujafanya utafiti na kuja na takwimu.
 
Inahitajika zaidi ya elimu kutengeneza ajira. Japo elimu ni miongoni mwao.
Mfano Diamond hana elimu kubwa lakini amefanikiwa kwenye hilo. Kuna mengi ya kufanya ila kwa sasa ningekushauri uendelee na utafiti wako
 
Elimu kwa vitendo itasaidia kuifanya wanafunzi wapende elimu,na sio kupoteza muda kukariri ..

To identify skill/knowledge gap, kwa kuangalia soko la ajira linataka nini/vigezo vipi,kisha incoperate this into curriculum/syllabus, sio kwenda kusoma mavitu irrelevant moja,second hayapo interesting ,third wastage of resources!..time and money,lol
 
Kaka utofauti katka maixha upo na utazidi kuwepo ukizngumzia wasanii ni level nyngne hyo mfn mzr umechkulia kwa mond , hyo ni msanii aliyejariwa kipaji na ubunifu mkubwa alio nao ndo umemfnya afike hapo alipo rmbu turudi nyuma angalia kikundi kikubwa cha wanafnz wanao toka vyuon ni wangap ambao wanapata kazi za maana na za uhakika???
 
Elimu kwa vitendo itasaidia kuifanya wanafunzi wapende elimu,na sio kupoteza muda kukariri ..

To identify skill/knowledge gap, kwa kuangalia soko la ajira linataka nini/vigezo vipi,kisha incoperate this into curriculum/syllabus, sio kwenda kusoma mavitu irrelevant moja,second hayapo interesting ,third wastage of resources!..time and money,lol
That's great madam!!!so unaishauri nini serikali kutokana na huo mtazamo wako ili kusolve tatzo la ajira kwa vijana ka sisi
 
kwa takwimu gani ndugu maana kuongea tu bila takwimu si vyema, Huwezi sema kwenu ni tatizo kubwa kuliko sehemu nyingine Kama hujafanya utafiti na kuja na takwimu.
Kaka bila kupepesa macho ,amin kadili watanzania tunavyoongezeka swala la ajira linazidi kuwa changamoto ,, there's strategics plan zozote zinazochukuliwa ili kupanua wigo wa ajira
 
issue nyingine ni uvivu...vijan wengi ni wavivu kufikiri na kufanya maamuzi chanya... sasa sijui ni mfumo wetu wa elimu bado unachangia hili tatizo au ndio nature yetu rangi nyeusi inatuandama....
 
issue nyingine ni uvivu...vijan wengi ni wavivu kufikiri na kufanya maamuzi chanya... sasa sijui ni mfumo wetu wa elimu bado unachangia hili tatizo au ndio nature yetu rangi nyeusi inatuandama....
Yes cc ni wavivu wa kufikiri but cyo wa kufanya kazi ,, kijana wa sasa anakubali kushinda kuanzia akibeti akiamini ya kuwa hamna kazi ya kufnya kumbe huo mda angeutumia kwa uzalishaji angefnya mmbo ya maana in addition to that vijana wa sasa hata tukifanikiwa kidgo tunatumia mda mwngi sana kujiproud kwa watu tunasahau kuweka more efforts zaid badala yake tunajipongeza hatua moja mbele na kurud hatua tatu nyuma hlo nalo ni tatzo
 
Kaka bila kupepesa macho ,amin kadili watanzania tunavyoongezeka swala la ajira linazidi kuwa changamoto ,, there's strategics plan zozote zinazochukuliwa ili kupanua wigo wa ajira
kwahiyo nchi nyingine hawaongezeki.?
 
Tatizo ni big population with a limited resources, zamani wasomi walikuwa wachache, mtu alikuwa na uwezo wa kuacha kazi hapa leo kesho anapata pale tena kwenye taasisi za umma kabisa. Hivyo tatizo siyo mfumo wa elimu.
 
Back
Top Bottom