mfumo wa digital

wanna

Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
76
Reaction score
16
naomba kuuliza ndugu khs huu mfumo wa digitali eti kwa wale wenye cm zenye tv na wao wanashauriwa kuwa na ving'amuzi? kuuliza c ujinga
 
mbona hii haichekeshi!haifai kua hapa,ila kimfano ukipata king'amuzi utaunga vipi,simu ni mobile na king'amuzi hakina betri utatumia vipi,hili suala nadhani haliwezekana hivyo iyo tv itakua mchele mtupu.
 
lisilowezekana tz, china lawezekana
 
simu zenye tv zitahitaji king'amuzi ili kuweza kung'amua mawimbi ya tv itakayopokea. otherwise ule mtama kwa watoto uswahilini ndio basi tena
 
naomba kuuliza ndugu khs huu mfumo wa digitali eti kwa wale wenye cm zenye tv na wao wanashauriwa kuwa na ving'amuzi? kuuliza c ujinga
Kwa kwel huu uzi sio mahali pake ungepeleka sehemu husika ungeshajibiwa vizri kama ni mgeni jaribu kuuliza kabla ya kupost thread yako ila mimi binafsi cjui kuhusu ving'amuzi vya cm! tembelea web ya TCRA na uliza utajibiwa vizuri tu!
 
Nauza phone yenye king'amuzi,nipm kama vipi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…