SuperHb
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 1,007
- 997
Hi ndungu zangu
Nina tatizo ndugu yangu,kiufupi mimi nimejisajili kwenye Portal Ajira...tatzo linakuja kwenye kuapply kazi...nikitaka kuapply wanasema sijui sijaweka vyeti vya o-level,mara sijaweka age requirements...nikiangalia vyote vipo...ila nashangaa kwanini wananiletea ujumbe huo...
Kwa uthibitisho nimeattach screen shots zake mjionee labda kuna nimekosea mnaweza mkanisaidia kurekebisha ndugu zangu.