October itakapofika utatambua kwamba kumkarisha lowasa ni janga kwa UKAWA.Hakuna mtanzania mpu.mb.av kiasi hicho hata kama tumeitwa kichwa cha mwendawazimu,mtuapishe kwa viapo kwamba EL ni fisadi akiwa CCM halafu mje kutuamisha kwamba mfumo utamfanya awe msafi!!!
Unamuongelea mgombea gani?Yule aliyeteuliwa na Mbowe ?Kubwa ni mfumo kama wangekuwa ndiyo wakwamishaji mbona mgombea urais kateuliwa na nguvu ya MTU mmoja
October itakapofika utatambua kwamba kumkarisha lowasa ni janga kwa UKAWA.Hakuna mtanzania mpu.mb.av kiasi hicho hata kama tumeitwa kichwa cha mwendawazimu,mtuapishe kwa viapo kwamba EL ni fisadi akiwa CCM halafu mje kutuamisha kwamba mfumo utamfanya awe msafi!!!
Amakweli kama ni shule basi bdugu yangu. Kama ni propaganda basi nenda shule ya makada huko Kigamboni ujaribu kurefresh ili uende na wakati. Tambua kwamba kwa vyovyote itakavyokuwa chama tawala kwa sasa kimepata kidonda ndugu. Na kitakawa kinauma pole pole kila hali ya hewa inavyobadiriki mpaka muuguaji anakufa. Ni ngumu kuikubari ila huo ndo ukweli. Wewe na mimi tuombe uzima ili huo mziki uje uucheze na ndugu yenu Diamond.
Issue hapa sio uchafu au usafi wa mtu yoyote, tunachotaka ni kuuondoa ccm na mfumo wake ulioshindwa. Ccm ambayo haitaki hata katiba inayoonyesha kumpa nafuu mwananchi wa kawaida!! No,
Tusuibiri hii mechi kati ya CCM A na CCM B tuone
Sasa ni zamu ya walutheri wakatoliki wasubiri kwani wakristo ni wao tu.Asante mwalasusa kwa kumleta Sumaye