meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,829
wanasiasa wanatufanya mabwege sana.
Sioni jipya zaidi ya uroho wa madaraka tu.wale tuliowachukia na waliounda mfumo huu dhaifu na wa kimagumashi ndio hao leo wanaokuja kujidai wanasaidia mabadiliko.
Wale wale waliotupigia na kutuulia ndugu zetu leo hii wanajidai wanasaidia ukombozi.
Hii ni big joke yaani ni kama vile netanyahu aungane na abass ili kuwakomboa wapalestina.
Ndio maana watanzania waliukataa mfumo wa vyama vingi kwani wanasiasa wetu ni wasanii.
Ndio maana nchi ilikuwa inayumba kisa kuna vikundi ndani ya ccm venye uroho wa madaraka.
Dawa yao ni kuwatosa tu.
Unajua maana ya mfumo au unapayuka tu hawa wamekuja kujiunga na mfumo mpya wa kuwatumikia raia sio shetani uko hapo
Ukijumlisha idadi ya kashfa za kifisadi chini ya uongozi wao utagundua ninachosema
Walishindwaje kuwatumikia wananchi miaka 12 iliyopoita halafu waweze leo?
Wanasiasa wanatufanya mabwege sana.
Sioni jipya zaidi ya uroho wa madaraka tu.Wale tuliowachukia na waliounda mfumo huu dhaifu na wa kimagumashi ndio hao leo wanaokuja kujidai wanasaidia mabadiliko.
Wale wale waliotupigia na kutuulia ndugu zetu leo hii wanajidai wanasaidia ukombozi.
Hii ni big joke yaani ni kama vile Netanyahu aungane na Abass ili kuwakomboa wapalestina.
Ndio maana watanzania waliukataa mfumo wa vyama vingi kwani wanasiasa wetu ni wasanii.
Ndio maana nchi ilikuwa inayumba kisa kuna vikundi ndani ya ccm venye uroho wa madaraka.
Dawa yao ni kuwatosa tu.
Haahaa eti Netanyahu na Abas waungane kuwakomboa wapalestina!!lakini si walishaungana kuwabomoa Hamas au umesahau the teh!!by the way ungesema tu Netanyahau aungane na Perez (Likud na Labour) hapo sawa maana wako katika mamlaka mmoja...Kuwa makini nimetumia neno mamlaka
Oil Chafu ina tabia ya kung'ang'ania kwenye nguo lakini ni lazima imwagwe tu.
Sasa ni zamu ya walutheri wakatoliki wasubiri kwani wakristo ni wao tu.Asante mwalasusa kwa kumleta Sumaye
Pesa si mchezo.