ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,568
- 44,786
Wakuu kuanzia bajeti ijayo wizara zote,taasisi zote na ofisi zote za serikali zitakuwa na mfumo mpya muse katika kutimiza activities zake kwa mwaka mzima.mfumo huu ulishaanza kwa wakala wa vijijini ruwasa na ndio sasa wizara ya fedha unataka kuutumia kote.swali langu kwenu nyie wabobezi wa mambo je mfumo huo utasaidia kitu gani haswa je utapunguza upigaji na je kivipi naombeni majibu yenu.
]
]