Mfumo kwa makampuni ya Mikopo (Microfinance Software)

Mfumo kwa makampuni ya Mikopo (Microfinance Software)

roywily

Member
Joined
Oct 18, 2014
Posts
34
Reaction score
8
Codelab Technologies ni kampuni ya vijana wa kitanzania, inayojishughulisha na kutengeneza software.. tunakuletea pera microfinance software itakayokuwezesha kutunza taaarifa za wateja wako wanaokopa, kukokotoa riba, kuhifadh rasilimali (Asset), Kutunza taarifa za matumizi (eg, malipo ya kodi mishahara, luku , ...etc)
Ripoti za kimahesabu kama
--Branch Trend (Kuona ni tawi lipi linafanya vizuri kwa kutoa mikopo na kupokea marejesho)
--User Trend (Kuona ni mfanyakazi yupi anafanya vizur kwa kutoa mikopo na kupokea marejesho)
--Balance Sheet
--Trial Balance
--Account statement
--Due Loans per day
--Profit & loss report

Pia tunatoa huduma ya sms za kuwakumbusha wateja tarehe zao za malipo.
IMG_20181112_101330_618.jpeg
 
Attachments

  • IMG_20181112_101330_618.jpeg
    IMG_20181112_101330_618.jpeg
    35.2 KB · Views: 98
  • TrialBalance.JPG
    TrialBalance.JPG
    55.3 KB · Views: 54
  • 5.jpg
    5.jpg
    24.8 KB · Views: 21
  • 1.jpg
    1.jpg
    23.1 KB · Views: 22
  • 4.jpg
    4.jpg
    20.2 KB · Views: 19
  • 1.jpg
    1.jpg
    23.1 KB · Views: 29
Haya ndiyo mambo tunayopenda kusikia na kuona toka kwa vijana wetu.
Siyo wale ambao kazi yao kutwa ni kulialia,kulalama na kutafuta watu wengine ubaya wakati fursa zipo zinawatazama.
 
Haya ndiyo mambo tunayopenda kusikia na kuona toka kwa vijana wetu.
Siyo wale ambao kazi yao kutwa ni kulialia,kulalama na kutafuta watu wengine ubaya wakati fursa zipo zinawatazama.
shukaran mkuu.. tuendelee kupeana support.. Pia tupeane wateja hatuwezi kukuacha hiv hivi..
 
Haya ndiyo mambo tunayopenda kusikia na kuona toka kwa vijana wetu.
Siyo wale ambao kazi yao kutwa ni kulialia,kulalama na kutafuta watu wengine ubaya wakati fursa zipo zinawatazama.
Hebu tushirikishe na wewe katika juhudi zako umejitegemea kivipi, isije ikawa ni hadithi za Abunwasi
 
Pata report ya mahesabu Trial Balance
TrialBalance.JPG

Trial Balance Report
 
Codelab Technologies ni kampuni ya vijana wa kitanzania, inayojishughulisha na kutengeneza software.. tunakuletea pera microfinance software itakayokuwezesha kutunza taaarifa za wateja wako wanaokopa, kukokotoa riba,
Ripoti za kimahesabu kama
--Balance Sheet
--Trial Balance
--Account statement
--Due Loans per day
--Profit & loss report

Pia tunatoa huduma ya sms za kuwakumbusha wateja tarehe zao za malipo.
View attachment 930984
Nipatie again bro
 
Back
Top Bottom