Mfumo halali wakupiga kura huu hapa

Tardy

JF-Expert Member
Oct 31, 2021
1,287
1,604
Kila mtaa uwajibike kusimamia upigaji kura na kuhesabu.
Fomu za matokeo zijazwe hapohapo.
Viongozi wadini wawe maafisa wa usimamizi.

Wananchi wawe guru kwenda kituo cha kata kusimamia matokeo toka kwenye vitongoji.
Polisi wasikae vituoni
Mgambo/Sungusungu ndio waangalie usalama vituoni.
Kila jimbo litangaze Rais aliyeongoza
Siku za kampeni kisheria,kabla yakuanza kampeni Rais aliyeko madarakani ang'atuke na kiti kikaliwe na Jaji mkuu hadi atakapoapishwa mshindi.
 
Back
Top Bottom