(MTOTO WA KIUME)>Baba,nimepata girlfriend mzuuri sana. (BABA)>Hongera kidume wangu,huo ndo uanaume!.......................................................................(MTOTO WA KIKE)>Baba nimepata boyfriend,ni handsome kweli!. (BABA){huku akijaza risasi kwenye bunduki}>Naomba unitajie jina lake na mtaa anao ishi!