Mfumaniwa ajipeleka mwenyewe polisi

Midavudavu

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
287
59
Njemba moja ilifumaniwa huko Morogoro. Aliyefumania hakuwa na makuu aliwasabahi wagoni wake na kisha kutoka na nguo ndogo ya ndani ya yule njemba na kuondoka. Huku nyuma njemba lilikurupuka mbio na kukimbia. Baada ya siku 2 kupita likawa lina hadithia wenzie kuwa **** mmoja alimfumania na mkewe lakini halikufanya kitu chochote isipokuwa alichukua nguo yake ndogo ya ndani. Jamaa wakamwambia hapo alikuwa amekwisha, hili ni balaa jamaa atamfanyia kitu mbaya mzigo wake utakufa. Hapo jamaa ndipo alipoamua kwenda kwa mwenye mke ampe ile yake ya ndani. Jamaa kakausha kama hajui kilichotokea na anashangaa lini alimfumania mkewe na mtu. Hapo ndipo njemba ilipoamua kwenda polisi kudai nani hii yake ya ndani aliyochukua mwenye mke. Polisi wakamwambie aende nyumbani tu kwa kuwa jamaa kakana hajamfumania mtu na hajachukua nguo yake ya ndani. Njemba hivi sasa hoi kadhoofu; sijui haya malogi au anateseka kisaikolojia?:couch2:
 
Naye amvizie,achukue ya kwake. Atamrudishia tu.
Ila akome kubeba ngobweso za wenzake... Watamgeuza wakike !
 
Back
Top Bottom