Mimi ni muhanga wa huu mfuko wa LAPF kwa mafao ya mirathi na ndio msimamizi wa mirathi.
Nimekamilisha kila kinachohitajika na nasubiri kupewa pesa tu. Lakini huu ni mwezi wa 6 wananiambia benki kuna matatizo hivyo nisubiri.
Wasiwasi wangu ni kwamba huyu mhasibu ni huyu muhasibu anaifanyia biashara hii fedha na kusababisha kuchelewa kwa malipo.
Naomba mnishauri nitawezaje kutatua hili tatizo?