Mfuko wa bima ya afya(NHIF) mtuhurumie

blackandwhite

Member
Mar 4, 2015
59
87
Mfuko umebadilisha malipo kwa mtu binafsi sasa ni milioni moja laki tano kwa mtu mmoja bila wategemezi wanne kama ilivyokuwa mwanzo.

Na kwa mtu binafsi kulipa ni mara moja tu kwa kiwango hicho. Hivi walalahoi utaweza kweli mke na mume milioni tatu hapo hamjawalipia wazazi?
 
Unapotosha

Wametoa vifurushi vipya vinavyotokana na Umri wa mtu, pia inategemea mfuko wako.
Kinanzia 192000 kww mtu hadi 530000 kwa mtu 1
Wa laki 192000 atatibiwa hospital za wilaya. Kwenda hospital kubwa hadi rufaaa.
Wa laki 5 atatibiwa hospital zote na hatahitaji rufaa, atalazwa siku 60.

Pia hiki ni kwa wenye 18 hadi 35yrs tu. Ukivuka hapo hela yaongezeka
 
Kwa hiyo hizo ndo gharama wanyonge wanaweza kuzimudu? CAG anatakiwa aikague hiyo NHIF, unaweza kuta imeshakuwa kijiwe cha wapigaji. Unaumwa ukienda kutibiwa kwanza unakuta daktari mmoja tu anahudumia watu wa bima, foleni ya kufa mtu, ukibahatika kuandikiwa dawa ni zile feki za kutoka india au hizi za kibongo za ubora wa chini, ila kwenye mshahara unalimwa pesa kibao
 
Mungu alivyo wa ajabu eti Sisi maskini wala hatuumwi sana kiivyo! Wewe kenge mmoja anatibiwa hadi kwa billion! Only in Tanzania
 
Unapotosha

Wametoa vifurushi vipya vinavyotokana na Umri wa mtu, pia inategemea mfuko wako.
Kinanzia 192000 kww mtu hadi 530000 kwa mtu 1
Wa laki 192000 atatibiwa hospital za wilaya. Kwenda hospital kubwa hadi rufaaa.
Wa laki 5 atatibiwa hospital zote na hatahitaji rufaa, atalazwa siku 60.

Pia hiki ni kwa wenye 18 hadi 35yrs tu. Ukivuka hapo hela yaongezeka
Taarifa hizi mbona kwenye website hamujaweka? Mnafanya Siri Kama uchawi
 
Afya na elimu zimekuwa bidhaa ghali sana kwa sasa duniani.
 
TAARIFA MPYA YA BIMA YA NHIF.

Mdau mmoja anasimulia:

“Jana nilienda kwenye kikao cha watu wa NHIF walikuja Muhimbili kutangaza huduma mpya za package za wateja wapya ambao siyo wanachama wa NHIF na siyo waajiliwa wa serikali. (Wanachama wa hiari)

PACKAGE
1.Najali afya
2.Wekeza afya
3Timiza afya.

Najali 192,000 kwa kichwa kwa mwaka
Wekeza ni 384,000 kwa mwaka
Timiza 516,000 kwa mwaka.

Kama una taka kulipia watu 2 au zaidi unachukua package husika unazidisha kwa idadi mfano (192,000 ×3)
(384,000 idadi kama ni mke au mke na watoto, na haina limitations unaweza kuwalipia mpaka majirani, binti wa kazi , na kadhalika.

Limitations
1. Hizo package zote ili hazitagharimia Magonjwa ya figo, moyo, na saratani.

2. Najali afya haitagharimia CTscan na MRI na atatumia dawa za kawaida, group A na B.

Group C na D hatatumia, atafanyiwa operations ndogo 27, kubwa 14, za kawaida 24.

Kifurushi cha zamani cha interns laki 1 kimefutwa rasmi, kifurushi cha 1/5 million kimefutwa rasmi, na kifurushi cha watu wa vikundi vya vicoba vimefutwa rasmi toka tarehe 1 September
Kifurushi vyote hivo hautaruhusiwa kwenda zonal hospital na national hospital bila referal system.

And very soon hata wanachama wa NIHF ambao sio wafanya kazi wa muhimbili hawataruhusiwa kuja moja kwa moja muhimbili bila referal system kama ilivyo kwa sasa.

Package zote zitakuwa na access ya kwenda from dispensary to regional hospital bila referal system.

Package namba 2 utachangia huduma ya CT scan na MRI, Kama utahitaji kufanyiwa hicho kipimo.

Package number 3 utafanyiwa CT scan na MRI na package zote utafanya vipimo vya maabara na ultrasound.

Kwa mwanachama atakayetaka kujiunga akiwa na miaka kati ya 36-59 package ya Najali na wekeza yaani package 1&2 hataruhusiwa kujiunga sipokuwa package yake ya kwanza itakuwa 444,000 kwa mwaka.

Lakini package zote hizo ataruhusiwa kuja muhimbili bila referal kama atakuwa ana emergency disease, au issue za mama mjamzito na kujifungua.

Yalizungumzwa mengi nilijitahidi kusikiliza kwa makini angalau nimewasilisha 95% kwa ukamilifu wake”.Source: Nimeikopi kutoka mitandaoni, jamaa mmoja aliandika kama simulizi.... nimeona inaweza kuhusika hapa.
 
Unapotosha

Wametoa vifurushi vipya vinavyotokana na Umri wa mtu, pia inategemea mfuko wako.
Kinanzia 192000 kww mtu hadi 530000 kwa mtu 1
Wa laki 192000 atatibiwa hospital za wilaya. Kwenda hospital kubwa hadi rufaaa.
Wa laki 5 atatibiwa hospital zote na hatahitaji rufaa, atalazwa siku 60.

Pia hiki ni kwa wenye 18 hadi 35yrs tu. Ukivuka hapo hela yaongezeka
Hivi havipo tena wamesitisha wamesema vilikua pilot kuanzia tarehe moja septemba hadi 30 septemba tu waluobahatika kuwa na pesa mkononi walikata baada ya hapo serikali iliagiza wasikate..hali ni mbaya sana hata BIMA YA AFYABYA WATOTO UKIANZA LEO UKILIPA UNAPEWA KADI BAADA YA SIKU TISINI. ..WANYONGE TUTAISHIA KWA WAGANGA WA KIENYEJI
 
Waweki kwenye website yao taarifa hizo ikiwezekana waweke na video ya maelezo kwenye website yao
 
Unapotosha

Wametoa vifurushi vipya vinavyotokana na Umri wa mtu, pia inategemea mfuko wako.
Kinanzia 192000 kww mtu hadi 530000 kwa mtu 1
Wa laki 192000 atatibiwa hospital za wilaya. Kwenda hospital kubwa hadi rufaaa.
Wa laki 5 atatibiwa hospital zote na hatahitaji rufaa, atalazwa siku 60.

Pia hiki ni kwa wenye 18 hadi 35yrs tu. Ukivuka hapo hela yaongezeka
Kupotosha ni kutoekewa pia inaonekana upo karibu na bima za watoto vp ukiangalia asilimia kubwa hatujaelewa wala kufikiwa na taarifa kamili kutoka kwenu tukiwa kama wanachama wenu
 
Back
Top Bottom