Mficha uchi hazai

Jamani kwema wapendwa

Msaada kuna mtu anaumwa ametoka kipele ambacho kimetokea kidonda kwenye "naniuu" kwa chini then anasema kinakuwa kama kinawasha hivi. Itakuwa ugonjwa gani? Na atumie dawa gani? View attachment 2636406
Dah mpe pole, mimi toka nipigwe na kitu kikali siuzi tena mechi . Kuna magonjwa yapo sana siku hizi yanadunda dhidi ya antibiotics.

Mwambie asione aibu aende hospital akapimwe ajue ni nini na sio kwenda pharmacy na Kununua dawa bila kijua ni ugonjwa gani.
 
Hatimaye kuanzia jana nimefanikiwa kuona mengi hapa JF..Pole sana Amina unapoona dalili yoyote ambayo sio ya kawaida mwilini mwako hasa maeneo kama hayo solutuon huwa ni moja tu kuwahi hospitali kwa matibabu zaidi
 
ni hatari kk
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…