Amina kiuno
Member
- May 24, 2023
- 11
- 16
Mkuu wangu leo sabato, nyie malizaneni tu
Dah mpe pole, mimi toka nipigwe na kitu kikali siuzi tena mechi . Kuna magonjwa yapo sana siku hizi yanadunda dhidi ya antibiotics.Jamani kwema wapendwa
Msaada kuna mtu anaumwa ametoka kipele ambacho kimetokea kidonda kwenye "naniuu" kwa chini then anasema kinakuwa kama kinawasha hivi. Itakuwa ugonjwa gani? Na atumie dawa gani? View attachment 2636406
nyuzi zipo nyingi balaaHaya trend za picha za dyudyu sasa ! Aende hospitali huko ndio tatizo litajulikana kwani atatoa maelezo bila kupindapinda
ni hatari kkHatimaye kuanzia jana nimefanikiwa kuona mengi hapa JF..Pole sana Amina unapoona dalili yoyote ambayo sio ya kawaida mwilini mwako hasa maeneo kama hayo solutuon huwa ni moja tu kuwahi hospitali kwa matibabu zaidi