mficha maradhi.....

Labda kama DAFTARI lako lina matatizo, lakini kama liko poa baada ya miezi tisa utaona picha itakayotoka,mwenyewe utaipenda

daftari langu halina matatizo kabisa ni jipya halijachanika hata kurasa moja na wala halijawahi kuandikiwa
 
nipe na madame b jamani
looo
 
Mwenzenu nipo rum peke yangu najitishajeeeeee!!!naogopajeeeee!!!
Tokea saa 8 natetemeka naona vitu vinatembea tu.

dawa ninayo nimerithi kwa bibi juzi nimetoka handeni...
 
kweli dawa ilifanya kazi ndio unaamka sasahivi...... Haya za asubuhi best?

za asubuhi poa mpenzi yaani uchovu balaa.
Nipe dawa ya uchovu basi daktar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…