Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
Nimefungua haraka nikidhani Heaven on Earth kumbe huyu mbwiga
we figganigga bana, mkeo unapaswa kumtambua hata kwa harufu tu
Earth and Desert
Mi mekuja fasta sana duh
Umeanza eeh? Shanga za dhahabu kwenye mnyororo wa silver zinakatikaje? Ntakusemea kwa paw!
Mi mekuja fasta sana duh
Jamiiforums(Mmu) yatosha!
Yah kaanza na kupaka lip shiner.kisoda kiko wazi hapo tayari kwa matumizimkuu umtinda nyusi?. mia
Ulidhani ni "Fursa" mkuu???
Yah kaanza na kupaka lip shiner.kisoda kiko wazi hapo tayari kwa matumizi