oya mnanichanganya na hizo id zenu. sasa hapa mke wangu ni nani?. mia
Mi mekuja fasta sana duh
Mi mekuja fasta sana duh
Kuna jamaa yangu mmoja aliniambia kuwa,Ili dunia iendelee kuwepo ni lazima "wajinga" wawepo!
Ewaaaaaaahhhh!!!!!!!!hahahaaa hata mi naona maana tajiri hawezi itwa tajiri kama masikini hayupo!
Wako watatu kuna Heaven on Earth pia kuna heaven on desert na kunaKumbe kuna Heaven wawili? Mimi namfahamu yule mwanamke sasa nimeshangaa kuona sura ya mpaka poda nikapata maswali mengi yasiyo majibu.
NB: Mkuu mleta hoja mbona make-up nyingi hivyo utafikiri mcheza show wa kikongoman?
hapana sio mimi........huyu mjamaa anapenda sifa sana
mkuu umtinda nyusi?. mia
Say what?Daaaah, naona jeiefu imeingiliwa......
Tena mbele na nyuma
huyo kapata android hivi majuzi.
Najua basi............
asisahau mashauzi ynataka pesa
Mnamatch sana in terms of names.... Let u tie the knot.....