Hahahaaaaa.......
heshima yako mkuu. mambo vipi? ushamaliza mambo yetu yale?. mia
Niko poa kabisa...yale mambo nimemaliza salama...jumapili yani kesho taanza zile route zangu......
hongera sana. nakutakia safari njema zenye mafanikio. tutaonana ukirudi kama Mungu akipenda. mia
kwanini mama?
unaogopa kuanzishiwa uzi?
hahaa!!!
mi nilifikiri ni heaven wewe kumbe ..... Duh, dunia imekwisha!
mkuu umtinda nyusi?. mia
We dogo rudi nyumbani, operesheni kimbunga tayari imeshapoa.
cc. Bishanga
hata mimi pia
jamani kwani huyu ni nani?
heaven on desert huchoki kuuza nyago????
hapana sio mimi........huyu mjamaa anapenda sifa sana