heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
mabwaku!!!!!!!!!!!!!!
huyo kapata android hivi majuzi.Aiseer soko linatafutwa kwanguvu...nimekwenda kumchungulia huko insta jamaa anapost picha HAKUNA HT MMOJA ANAYECOMMENT kwa pcha zake....Hhahaha so kaja humu ili mkamuunge mkono....pamoja kujiwekea nembo ya diamond lkn waaaapiiiii
mi nilifikiri ni heaven wewe kumbe ..... Duh, dunia imekwisha!
huyo kapata android hivi majuzi.
Aiseer soko linatafutwa kwanguvu...nimekwenda kumchungulia huko insta jamaa anapost picha HAKUNA HT MMOJA ANAYECOMMENT kwa pcha zake....Hhahaha so kaja humu ili mkamuunge mkono....pamoja kujiwekea nembo ya diamond lkn waaaapiiiii
A do my thingz..sijawahi jari what people talk bout me n my life...................
Matangazo madogo madogo yamehamia mmu!!!!!.
hebu jaribu kurifuata instagramu uone rinasemaje!! hiri ri mtu inabidi rikamatwe riretwe hapa!!
over!!
mabwaku!!!!!!!!!!!!!!
baby hili geni kwangu ndio nini?
Siwezi hata siku moja..