Mfanyakazi wangu anapenda kunitega

Huku ni pressure tu, njooni jukwaa la siasa, kule watoto wengi wanatutembelea lakini wenyewe huwa mambo yanapowakuta wanakimbia.

Huyu mtoto mama'ke leo kamgeuza house girl. Wishful thinking.
 
Wana Jf naomben niwaeleze kinacho nisibu, kila nuludipo nyumban kwanu huja mfanyakaz wangu ili kunitengea chakula lakin kila ajapo hua amevaa kanga moja tu bila ya nguo nyingine ya ndani wakati huo mke wangu yupo kazini kwake, wakat mwingine mfanyakaz huyo hua anafikia hata atua ya kunikaribisha bafuni tukaoge .msaada tafadhali

nuludipo,kwanu,hua,atua .....sijaelewa haya maneno ktk post yako dogo,jifunze kwanza matumizi sahihi ya lugha ndio uje hapa jukwaani.
 
Kweli kabisa huko jukwaa la elimu ni kuuliza post za form 5.. Huku mmu anakuja na story za kupika ohh mke wangu anatoka na gatekeeper mara housegal wake anamtega... Dogo unatuharibia jukwaa

Stories zake zakutunga..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom