Mfanyakazi wangu anapenda kunitega

QUONSIOUS BOY

Member
May 18, 2014
33
0
Wana Jf naomben niwaeleze kinacho nisibu, kila nuludipo nyumban kwanu huja mfanyakaz wangu ili kunitengea chakula lakin kila ajapo hua amevaa kanga moja tu bila ya nguo nyingine ya ndani wakati huo mke wangu yupo kazini kwake, wakat mwingine mfanyakaz huyo hua anafikia hata atua ya kunikaribisha bafuni tukaoge .msaada tafadhali
 
Mazigazi

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
9,018
2,000

atug

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
2,226
2,000
Mkuu huyu ni dogo anayesubiri post za form 5 mchek kule jukwaa la elimu kwenye uzi unaohusu post za form 5...asiwasumbue watu wazima hapa

Kweli kabisa huko jukwaa la elimu ni kuuliza post za form 5.. Huku mmu anakuja na story za kupika ohh mke wangu anatoka na gatekeeper mara housegal wake anamtega... Dogo unatuharibia jukwaa
 
MtamaMchungu

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
5,352
2,000
Moderatora kuna umuhimu wa kuanza kupitia every post kabla haijaweka humu. Hizi nyingine ni story za vijiweni
 
Kyalow

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,289
2,000
Haka katoto wenge kweli,kimemaliza form four kimenunuliwa simu kinapost ujinga na kuangalia porno
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
21,623
2,000
Wana Jf naomben niwaeleze kinacho nisibu, kila nuludipo nyumban kwanu huja mfanyakaz wangu ili kunitengea chakula lakin kila ajapo hua amevaa kanga moja tu bila ya nguo nyingine ya ndani wakati huo mke wangu yupo kazini kwake, wakat mwingine mfanyakaz huyo hua anafikia hata atua ya kunikaribisha bafuni tukaoge .msaada tafadhali
We unatutafutia BAN.... Kafie mbali huko...
 
VINS

JF-Expert Member
May 10, 2014
293
250
Wana Jf naomben niwaeleze kinacho nisibu, kila nuludipo nyumban kwanu huja mfanyakaz wangu ili kunitengea chakula lakin kila ajapo hua amevaa kanga moja tu bila ya nguo nyingine ya ndani wakati huo mke wangu yupo kazini kwake, wakat mwingine mfanyakaz huyo hua anafikia hata atua ya kunikaribisha bafuni tukaoge .msaada tafadhali

Achana na mfanyakazi huyo, tafuta aliye na nidhamu, najua kwa mtindo huo kuna siku utateleza tu
 
Mndengereko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
7,209
2,000
Kwani lazima mpost kama hamna cha kupost kausheni sio lazima.hata kuchangia tu inatosha stupid mkubwa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom