Tunahitaji mfanyakazi wa usafi wa ofisini kazi kubwa ni kusafisha ofisi na samani za ofisini.Ofisi ipo Upanga maeneo ya Muhimbili - Dar es Salaam.Tutafurahi zaidi kama amepitia maswala ya house keeping.Kwa mawasiliano zaidi ama mjadala tafadhali tuwasiliane kwa namba hii 0686 666666.Msg au whatsaap ni bora zaidi.Asanteni