Mfanyakazi wa tiGO Afanyiwa Mbaya..System at Work?

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
13,387
9,755
Habari nilizozisikia jana Usiku Kundi la watu wenye silaha kuvamia Nyumba Mbezi Goba bila kuiba chochote..Eneo hilo halina Kituo cha Polisi

Hii imenipa Mawazo Mengi baada ya kundi la watu wenye Silaha lililodhaniwa ni Majambazi kumvamia Mfanyakazi Huyo anayesadikiwa ni wa Tigo Usiku wa Kuamkia Tarehe 9 august 2012 lakini cha kushangaza hawakuiba kitu chochote zaidi ya kuifanyia mbaya Familia...na Kuwatesa...

Swali nimejiuliza Je Kuna uhusiano wowote pengine alihusika kuvujisha siri kwa Mwanahalisi...???alipowataja wale wahusika waliokuwa wanampigia simu Dr. Uli kabla ya kutekwa!! kama walikuwa ni Majambazi basi wangemuibia japo kitu chochote cha thamani!! au Huyu Jamaa pengine anakitabia cha Kuchezea Wake za Watu so Wamemlipizia??

My Take! Hii nchi naona kuna jambo linafanyika kuwafumba midomo watu... Hawa Usalama Watatumaliza ni bora wawahiwe kabla hawajatumaliza... hatuna Mtetezi...

Jamani Mnaojenga maeneo ya Mbali Muwe na vya kujilindia haswa Miguu ya Kuku
Twafaaaa jamani....

Source Majirani... Walisema Walishindwa Kulala na hawakuwa na la kumsaidia....Jirani yao...
 
Swali nimejiuliza Je Kuna uhusiano wowote pengine alihusika kuvujisha siri kwa Mwanahalisi...???alipowataja wale wahusika waliokuwa wanampigia simu Dr. Uli kabla ya kutekwa!! kama walikuwa ni Majambazi basi wangemuibia japo kitu chochote cha thamani!!
Hawa Usalama Watatumaliza ni bora wawahiwe kabla hawajatumaliza... hatuna Mtetezi...
Source Majirani... Walisema Walishindwa Kulala na hawakuwa na la kumsaidia....Jirani yao...

Hata mm nilidhani na nadhani ni hivyo hawa jamaa km sio wa UWT basi ashukuru mungu angekutwa Msitu wa MABWEPANDE cha kushukuru kapona leo chondechonde asilale hapo tena km hakuwaomba msamaha jana watarudi tu, ha nina uhakika hakuna mwenye ubavu wa kuficha SIRI ni lazima zimevuja tu ni nani ali Disclose zile no. za kampuni moja tu.
Namuombea msamaha jamani msimfuate tena adhabu mliyompa inatosha, kwani hata adhabu ya Dr ulli ilikuwa kubwa sote tu watanzania hebu watafuteni Al-Shabab na Al-Qaida
 
Duh mpaka naogopa kuandika michango humu. sijawahi kusikia usalama wa taifa sasa wanakuwa kama vibaka wa manzese?
 
Inasemekana usiku wa Kuamkia jana ilikuwa ni 2nd Time.. nadhani aliyewatuma hakulidhika na kibano cha kwanza walichompa...

My Take hata Akihama atahamia Wapi na huo ndio Mjengo wake... Sasa haya Matukio ya aibu kuwafanyia Watu yanaleta Sifa Gani? siku Mungu atawaumbua tu We Ngoja na aibu itawapata watu wa System!!

Nani wa kutusaidia Watanzania!
 
na hii watasema ni gangstar akiongozwa na silencer? oops kesi ipo mahakamani na ya huyu au bado!
 
Habari nilizozisikia jana Usiku Kundi la watu wenye silaha kuvamia Nyumba Mbezi Goba bila kuiba chochote..Eneo hilo halina Kituo cha Polisi

Hii imenipa Mawazo Mengi baada ya kundi la watu wenye Silaha lililodhaniwa ni Majambazi kumvamia Mfanyakazi Huyo anayesadikiwa ni wa Tigo Usiku wa Kuamkia Tarehe 9 august 2012 lakini cha kushangaza hawakuiba kitu chochote zaidi ya kuifanyia mbaya Familia...na Kuwatesa...

Swali nimejiuliza Je Kuna uhusiano wowote pengine alihusika kuvujisha siri kwa Mwanahalisi...???alipowataja wale wahusika waliokuwa wanampigia simu Dr. Uli kabla ya kutekwa!! kama walikuwa ni Majambazi basi wangemuibia japo kitu chochote cha thamani!! au Huyu Jamaa pengine anakitabia cha Kuchezea Wake za Watu so Wamemlipizia??

My Take! Hii nchi naona kuna jambo linafanyika kuwafumba midomo watu... Hawa Usalama Watatumaliza ni bora wawahiwe kabla hawajatumaliza... hatuna Mtetezi...

Jamani Mnaojenga maeneo ya Mbali Muwe na vya kujilindia haswa Miguu ya Kuku
Twafaaaa jamani....

Source Majirani... Walisema Walishindwa Kulala na hawakuwa na la kumsaidia....Jirani yao...
Majambazi watatumaliza huku tukisingizia vyombo vya dola kuwa vinahusika. Itabidi kujilinda wenyewe kwa sababu sasa vyombo hivi havina morari kutokana na kusingiziwa kila kukicha. Unatemea jambazi aingie kwa Said KUBENEA halafu chombo cha dola kikawa na haraka ya kutoa msaada. Itabidi afe kama kuku.
 
Duh mpaka naogopa kuandika michango humu. sijawahi kusikia usalama wa taifa sasa wanakuwa kama vibaka wa manzese?

ha ha haaa!!!!!!!! usiogope mwaya, hawa kwanza sio usalama wa Taifa, hawa watakuwa labda usalama wa magamba hawa. Jamani tusongeni mbele, kwenye vita kupoteza watu na kupata vilema huwa ni vitu cha kawaida. tuongezeni mashambulizi, adui yetu magamba keshaanza kuweweseka, ananza kupiga watu ovyo ovyo. karibu tunaikomboa nchi. POLE SANA KAMANDA ULIYEFIKWA NA MSAIBU HAYO, MWENYEZI MUNGU ATAKULIPIA, watakuwa wanaanguka hata majukwaani, wengine watapinduka na mashangingi yao, Mwenyezi Mungu lazima awadhalilishe hapahapa duniani. wasidhani damu ya mtu ni nyepesi.
 
na hii watasema ni gangstar akiongozwa na silencer? oops kesi ipo mahakamani na ya huyu au bado!
Uongo mtupu, hakuna tukio lolote lililoripotiwa kuhusu ujambazi huo wewe umeyatoa hayo wapi? Au una mpango kufanya uporaji nini, jambazi mkubwa wewe.
 
ha ha haaa!!!!!!!! usiogope mwaya, hawa kwanza sio usalama wa Taifa, hawa watakuwa labda usalama wa magamba hawa. Jamani tusongeni mbele, kwenye vita kupoteza watu na kupata vilema huwa ni vitu cha kawaida. tuongezeni mashambulizi, adui yetu magamba keshaanza kuweweseka, ananza kupiga watu ovyo ovyo. karibu tunaikomboa nchi. POLE SANA KAMANDA ULIYEFIKWA NA MSAIBU HAYO, MWENYEZI MUNGU ATAKULIPIA, watakuwa wanaanguka hata majukwaani, wengine watapinduka na mashangingi yao, Mwenyezi Mungu lazima awadhalilishe hapahapa duniani. wasidhani damu ya mtu ni nyepesi.

Itabidi tukupeleke Malawi naona unaota vita. Tusipende kuvikashfu vyombo vyetu vya ulinzi siku Malawi wakijaa nchini ndo tutajua umuhimu wao.
 
na hii watasema ni gangstar akiongozwa na silencer? oops kesi ipo mahakamani na ya huyu au bado!

Vipi, Mwanahabari kibaraka wa siasa (SAID KUBENEA) hajapata taarifa za kiuchunguzi kuhusiana na huyo jamaa wa tigo? au hajakatiwa posho na CDM.
 
Mtaweweseka sana mwaka huu! Lakini jueni tupo wengi zaidi yenu ninyi Vibaka chini ya mwavuli wa usalama wa Taifa. Siku hizi hakuna sifa yeyote kwa kuwa usalama wa Taifa, zaidi ya kutengwa na wananchi wazalendo. Endeleeni kukumbatia mabwana wenu CCM huku taifa likiteketea.
Vipi, Mwanahabari kibaraka wa siasa (SAID KUBENEA) hajapata taarifa za kiuchunguzi kuhusiana na huyo jamaa wa tigo? au hajakatiwa posho na CDM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom