Mfanyakazi wa serikali kulipa NSSF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfanyakazi wa serikali kulipa NSSF

Discussion in 'International Forum' started by KUNANI PALE TGA, Mar 17, 2009.

 1. KUNANI PALE TGA

  KUNANI PALE TGA Senior Member

  #1
  Mar 17, 2009
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wazee habari za masiku. Nimesoma habari kwenye gazeti la citizen,kwamba kila mfanyakazi wa serikali lazima atalipa NSSF 5% ya mshara wake from july 2010.eti ni kwa ajili ya kuchangia pension,kwa sabau serikali haina hela za kulipa pension.sasa miye nauliza jamani kweli tutua ishi?yani mwisho wa mwezi mfanayakazi wa serikali mshara zaidi ya robo unaondoka kwa makato ya kijinga jinga kama vile tughe,sijui nppf,bima ya afya ambayo haina hata faida kidogo,na sasa nssf.jamani hii nchi basi.tutaishi??????
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Isome vizuri hiyo habari mkuu... ni wafanyakazi wa Uganda, si TZ
   
 3. KUNANI PALE TGA

  KUNANI PALE TGA Senior Member

  #3
  Mar 17, 2009
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Oh sawa mkuu mpita njia,nimekupata.yaani siku hizi akili zetu zimeruka kwa hii ufisadi mkuu.yaani tz vitu ni kwa pupa tu,hata hivyo mzee kodi ambayo mfanyakazi anakatwa kwa mwezi ni sawa na tax ya mwaka ambayo analipa mfanya biashara.mkuu kuna michango mingine kama tughe tunayokatwa ni kubwa sana,anagalau ingekuwa reasonable tusingelalamika.but the matter of fact,hii system ya kodi na makato mengine lazima yawe reviewed,ni kubwa sana.ukiona basic ni kubwa,lakini unachopokea ni vijisenti tu.
   
 4. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Yaani nilikuta eti RAAWU wanakata 30,000 kila mwezi tena kwa nguvu katika salari yangu!

  Yaani ningeweza ningempiga mtu ngumi!

  Je nifanyeje? ni vema kweli RAAMU kuchukua 360,000 kwa mfanyakazi mmoja kwa mwaka?? hizi pesa zinaenda wapi?

  Je huu sii ufisadi?
   
 5. C

  Chuma JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2009
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mzalendo ukisikia ufisadi ndio Huu, hivi vyama havina vya kufanyakazi zaid ya kusubiri May Mosi....

  Mods...hii mada ibadilishwe au topic ifutwe maana muhusika Bangi za Ufisadi zimemkwama...ndio maana kalipuka!!!
   
Loading...