H haki8 Member Jun 7, 2016 26 35 Jan 18, 2018 #1 Natafuta mfanyakazi Wa salon ya kike awe anaweza kusuka na kuset mitindo yote ya nywele na awe mkazi Wa Tabora mjini.. Mshahara ni 130000 kwa mwezi Preferred Wa kiume mwenye uwezo Wa kusuka na kuset mitindo yote na mwepes Wa kujifunza style mpyaa
Natafuta mfanyakazi Wa salon ya kike awe anaweza kusuka na kuset mitindo yote ya nywele na awe mkazi Wa Tabora mjini.. Mshahara ni 130000 kwa mwezi Preferred Wa kiume mwenye uwezo Wa kusuka na kuset mitindo yote na mwepes Wa kujifunza style mpyaa
Mediocrist JF-Expert Member Jan 27, 2015 1,694 926 Jan 18, 2018 #2 Haya njoo kazi unayohitaji hii achana na ma group ya ajabu ajabu ya whatsapp eliajelemia50
kilambimkwidu JF-Expert Member Jul 21, 2017 6,052 7,057 Jan 18, 2018 #3 Salon yako inaitwaje na ipo sehem gan mkuu? NSSF na TRA wanashida na ww.
eliajelemia50 Member Nov 15, 2016 12 8 Jan 21, 2018 #4 Nahitaji sana iyo kazi tatizo sina kigezo maana sipo tabora mm nipo moro sasa mediocrist
Mediocrist JF-Expert Member Jan 27, 2015 1,694 926 Jan 21, 2018 #5 eliajelemia50 said: Nahitaji sana iyo kazi tatizo sina kigezo maana sipo tabora mm nipo moro sasa mediocrist Click to expand... Anhaa doh sawa mkuu
eliajelemia50 said: Nahitaji sana iyo kazi tatizo sina kigezo maana sipo tabora mm nipo moro sasa mediocrist Click to expand... Anhaa doh sawa mkuu